Maseneta kuendesha vikao vya kukusanya maoni kuhusu mswada wa sheria za vyama

Na CHARLES WASONGA UMMA na wadau mbalimbali wana siku 14 za kutoa maoni na mapendekezo kuhusu mswada tata wa mageuzi ya sheria za vyama...

Seneti yapinga mbinu ya serikali kusaka mgao wa Sh370 bilioni kwa kaunti

Na CHARLES WASONGA HUENDA serikali ikalazimika kuwaongezea Wakenya mzigo wa ulipaji ushuru zaidi ili kuiwezesha kuzitengea serikali...

Maseneta mbioni kupitisha marekebisho ya Sheria ya Pufya

Na CHARLES WASONGA BUNGE la Seneti litafanya kikao maalum Jumanne kujadili Mswada wa marekebisho ya Sheria ya Matumizi ya Dawa za...

Seneta Ledama Ole Kina aruhusiwa kuvaa mavazi ya kimaasai bungeni

Na CHARLES WASONGA SPIKA wa Seneti Kenneth Lusaka ametoa uamuzi kwamba maseneta wanaruhusiwa kuvalia mavazi ya kitamaduni...

Corona: Seneti kubadili taratibu za kuendesha shughuli

Na CHARLES WASONGA BUNGE la Seneti linapanga kubadili ratiba ya kazi zake litakaporejelea vikao Jumanne wiki ijayo kufuatia ongezeko la...

Pigo kwa Bunge huku mahakama ikizima sheria 23

Na JOSEPH WANGUI MAHAKAMA Kuu imebatilisha Sheria 23 zilizopitishwa na Bunge la Taifa bila mchango wa seneti, ikisema zimekiuka...

Tunaheshimu Seneti, Matiang’i atoa hakikisho

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Usalama, Fred Matiang’i amekanusha madai kwamba mawaziri hudharau Seneti kwa kukaidi mialiko ya kufika...

Maseneta Kwamboka, Mary Seneta wapatikana na hatia

Na CHARLES WASONGA MASENETA maalum Beatrice Kwamboka na Mary Seneta wametakiwa kuwaomba msamaha maseneta wenzao kufuatia kisa ambapo...

Lusaka awaita maseneta kwa mara ya tisa kujadili mgao wa fedha

Na CHARLES WASONGA SENETI itafanya kikao maalum Jumatatu wiki ijayo katika jaribio la mwisho kutanzua mvutano kuhusu mfumo wa ugavi...

TAHARIRI: Busara iongoze leo mjadala wa seneti

Na MHARIRI SENETI leo Jumanne inatarajiwa kujaribu kwa mara nyingine kupata mwafaka kuhusu mfumo mpya utakaotumiwa kugawa fedha kwa...

Uchaguzi wa kamati za seneti waanza

Na CHARLES WASONGA MCHAKATO wa uchaguzi wa viongozi wapya wa kamati za Seneti kuchukua nafasi ya wandani wa Naibu Rais William Ruto...

Lusaka atia muhuri kubanduliwa kwa Murkomen

Na CHARLES WASONGA SASA ni rasmi kwamba Seneta wa Elgeyo Marakwet Kipchumba Murkomen na mwenzake wa Nakuru Susan Kihika wamepokonywa...