Raia wa Urusi aliyejitapa hatumii pufya afeli vipimo kwenye Olimpiki

Na GEOFFREY ANENE MWANAMICHEZO Nadezhda Sergeeva aliyejigamba hatumii dawa za kusisimua misuli amefeli vipimo vya matumizi ya dawa hizo...