Sergio Ramos akubali kuchezea PSG kwa mkataba wa miaka miwili

Na MASHIRIKA SERGIO Ramos amekubali kujiunga na Paris Saint-Germain (PSG) kwa kandarasi ya miaka miwili na anatarajiwa kutia saini...

Sergio Ramos apokea ofa kutoka Bayern Munich, PSG na Man-City

Na MASHIRIKA BEKI Sergio Ramos, 35, amefichua kwamba amepokea ofa za kusajiliwa na klabu za Manchester City, Paris Saint-Germain (PSG)...

Sergio Ramos roho juu kuongoza Real Madrid kuangusha Chelsea kwenye marudiano ya UEFA ugani Stamford Bridge

Na MASHIRIKA REAL Madrid wamethibitisha kwamba beki na nahodha wao Sergio Ramos yuko katika hali shwari kabisa ya kuongoza kikosi hicho...

Mechi ya UEFA kati ya Real Madrid na Liverpool kuchezewa Uhispania baada ya kanuni za Covid-19 kulegezwa

Na MASHIRIKA MCHUANO wa mkondo wa kwanza wa robo-fainali kati ya Real Madrid na Liverpool hautahamishiwa kwingineko baada ya Uhispania...

Sina uhakika iwapo Sergio Ramos atasalia kambini mwa Real Madrid – Zidane

Na MASHIRIKA KOCHA Zinedine Zidane wa Real Madrid amesema hana uhakika iwapo beki na nahodha Sergio Ramos ataendelea kuwa mchezaji wa...

Manchester City kumsajili beki Sergio Ramos iwapo Real Madrid watakataa kumpa mkataba mpya wa miaka miwili

Na MASHIRIKA MANCHESTER City wameanza mazungumzo ya kumshawishi beki Sergio Ramos kujiunga nao muhula huu wa uhamisho wa wachezaji iwapo...

LA LIGA: Sergio Ramos afunga penalti kindumbwendumbwe dhidi ya Athletic Bilbao na kufanya Real Madrid kunusia ubingwa

Na CHRIS ADUNGO BEKI na nahodha Sergio Ramos alifungia Real Madrid bao la pekee na la ushindi kupitia penalti kwa mara ya pili mfululizo...

Sergio Ramos afunga penalti kusaidia Real Madrid kufungua pengo la pointi nne kati yao na Barcelona kileleni mwa jedwali

Na CHRIS ADUNGO PENALTI iliyochanjwa na beki Sergio Ramos katika dakika ya 79 iliwawezesha Real Madrid kusajili ushindi wa 1-0 dhidi ya...

Real Madrid warejea kileleni mwa La Liga katika gozi lililoshuhudia Mallorca wakiwajibisha kinda

Na CHRIS ADUNGO FOWADI Vinicius Junior na beki Sergio Ramos walicheka na nyavu za Mallorca na kuchochea Real Madrid kusajili ushindi wa...