AC Milan warejea kileleni mwa jedwali la Serie A

Na MASHIRIKA AC Milan walirejea kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu ya Italia (Serie A) baada ya kutandika Cagliari 1-0 mnamo Jumamosi...

Lazio watia kapuni alama tatu za bwerere Serie A baada ya Torino kuingia mitini

Na MASHIRIKA MECHI ya Ligi Kuu ya Italia (Serie A) iliyokuwa iwakutanishe Lazio na Torino iliwapa wenyeji alama tatu za bwerere baada ya...

Ronaldo afungia Juventus mabao mawili dhidi ya Udinese na kutua kileleni mwa orodha ya wafumaji bora Serie A

Na MASHIRIKA CRISTIANO Ronaldo alifunga mabao mawili na kuchangia moja jingine katika ushindi wa 4-1 ulioandikishwa na Juventus dhidi ya...

Ciro Immobile mfungaji bora wa Serie A

Na CHRIS ADUNGO FOWADI Ciro Immobile, 30, alitawazwa mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Italia (Serie A) na akaibuka pia mfumaji bora miongoni...

Juventus wanyakua taji la Serie A kwa msimu wa tisa mfululizo

Na CHRIS ADUNGO JUVENTUS walitwaa taji la Ligi Kuu ya Italia (Serie A) kwa mara ya tisa mfululizo baada ya kuwapepeta Sampdoria 2-0...

Ronaldo acheka na nyavu na kusaidia Juventus kurejelea Serie A kwa kishindo

Na CHRIS ADUNGO CRISTIANO Ronaldo alifunga bao na kusaidia Juventus kurejelea kampeni za Ligi Kuu ya Italia (Serie A) kwa ushindi wa 2-0...

Sanchez ana risasi moja pekee ya kujiokoa Inter Milan

Na CHRIS ADUNGO INTER Milan wamethibitisha kwamba fowadi Alexis Sanchez atasalia nao hadi mwisho wa msimu huu akisubiri iwapo usimamizi...

Kipenga cha kuashiria kurejelewa kwa Serie A kupulizwa rasmi Juni 20

Na CHRIS ADUNGO KIVUMBI cha Ligi Kuu ya Italia (Serie A) kitarejelewa mnamo Juni 20, 2020. Haya ni kwa mujibu wa Waziri wa Michezo...

Uwezekano wa Serie A kurejelewa Juni 13 kujulikana Alhamisi

Na CHRIS ADUNGO SERIKALI ya Italia itaamua mnamo Alhamisi Mei 28, 2020 iwapo wakati mwafaka wa kurejelewa kwa soka ya Ligi Kuu ya taifa...

Soka ya Ligi Kuu ya Italia kukamilika rasmi Agosti 20

Na CHRIS ADUNGO SHIRIKISHO la Soka la Italia (FIGC) limeteua Agosti 20 kuwa siku ya mwisho ya kukamilika kwa Ligi Kuu ya Serie A msimu...

Serie A kurejelewa rasmi Juni 13

Na CHRIS ADUNGO KIPUTE cha Ligi Kuu ya Italia (Serie A) sasa kitarejelewa Juni 13, 2020 iwapo serikali itaidhinisha maamuzi ya vinara wa...

Vikosi vya Italia vyaafikiana kukamilisha ligi ya Serie A msimu huu

Na CHRIS ADUNGO KLABU zote 20 za Ligi Kuu ya Italia (Serie A) zimeafikiana kukamilisha msimu huu wa 2019-20 kwa kushiriki michuano yote...