TAIFA LEO Logo
  • Habari
    • Habari za Kitaifa
    • Habari za Kaunti
    • Kimataifa
  • Siasa
  • Maoni
  • Makala
    • Afya na Jamii
    • Lugha, Fasihi na Elimu
    • Akili Mali
    • Jamvi La Siasa
    • Shangazi Akujibu
    • Bambika
    • Pambo
    • Dimba
  • Dondoo
  • Bi Taifa
  • Mashairi
  • Michezo
  • NIE Shuleni
Habari za Kaunti Mwanamke na wanawe wawili wafariki nyumba yao ikichomwa moto Updated 9 hours ago
Habari za Kaunti Gavana wa Kericho Mutai alivyotimuliwa na wabunge wa Kaunti mara mbili ndani ya miezi 10 Updated 9 hours ago
Habari za Kitaifa UDA yamalizana na Orwoba IEBC ikijaza nafasi yake katika Seneti Updated 9 hours ago
Habari za Kitaifa Watu wawili wafariki katika ajali ya magari kadhaa katika barabara ya Nairobi- Mombasa Updated 10 hours ago
Jamvi La Siasa

Ruto na Raila waandaa kikao kuhalalisha ndoa yao

Waliofukua miili Shakahola wasalia na ndoto mbaya na kutatizika akili

Walijitokeza kusaidia, lakini miaka miwili baadaye, madhila bado yanawasumbua. Iliacha alama...

July 19th, 2025

Mackenzie akemea wanaodai ameaga dunia

MSHUKIWA wa mauaji ya Shakahola, Bw Paul Mackenzie, amekashifu vikali uvumi ulioenea mitandaoni...

December 2nd, 2024

Shakahola: Mackenzie, wenzake 94 waduwaa kesi ikisukumwa hadi mwaka ujao

WASHUKIWA wa mauaji ya Shakahola wamelalamikia hatua ya kesi hiyo kuahirishwa hadi Machi mwaka...

November 11th, 2024

Simanzi kortini mzee akisimulia alivyopoteza jamaa 6 Shakahola

MZEE wa miaka 61 ambaye alipoteza wanafamilia sita katika mkasa wa Shakahola, alimlilia Paul...

October 19th, 2024

Kauli ya Ruto kutodhibiti makanisa inavyokinzana na vifo vya Shakahola

RAIS William Ruto amesema serikali haina mpango wa kudhibiti shughuli za kidini nchini. Kauli...

October 7th, 2024

Familia ilimtafuta zaidi ya mwaka mmoja isijue alifia Shakahola

FAMILIA moja kutoka Mwatate, Kaunti ya Taita Taveta, inaomboleza baada ya kufahamishwa kwamba mwili...

September 18th, 2024

Mackenzie alitukana wafuasi waliochelea kuua watoto kwa mfungo, shahidi asema

MHUBIRI tata Paul Mackenzie aliwatukana wafuasi wake waliokuwa wakinung’unika walipoambiwa...

September 14th, 2024

Nilijaribu kumshawishi mamangu kwa zawadi asirejee msituni Shakahola ila alikataa -Shahidi

SHAHIDI mmoja ameambia mahakama ya Mombasa kwamba alijaribu kumwokoa mamake kutokana na mahubiri...

August 17th, 2024

Polisi walijua mapema shughuli haramu zilizoendelea msituni Shakahola, asema shahidi

MAAFISA wa usalama walikuwa na nafasi ya kuepusha maafa ya watu zaidi ya 400 Shakahola iwapo...

August 16th, 2024

Kule Shakahola, kuna waliofunga na kufungwa kamba wakisubiri kifo, video zabaini

WAUMINI wa kanisa la mhubiri tata Paul Mackenzie walifungwa kwa kamba wakiwa bado hai wakati wa...

July 24th, 2024
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • Next →

Habari Za Sasa

Mwanamke na wanawe wawili wafariki nyumba yao ikichomwa moto

August 16th, 2025

Gavana wa Kericho Mutai alivyotimuliwa na wabunge wa Kaunti mara mbili ndani ya miezi 10

August 16th, 2025

UDA yamalizana na Orwoba IEBC ikijaza nafasi yake katika Seneti

August 16th, 2025

Watu wawili wafariki katika ajali ya magari kadhaa katika barabara ya Nairobi- Mombasa

August 16th, 2025

Masaibu ya wanafunzi Helb ikichelewa vyuo vikuu vikifunguliwa

August 16th, 2025

Kambi mpya za ‘kukutana na Yesu’ Kilifi zachunguzwa

August 16th, 2025

KenyaBuzz

The Naked Gun

Only one man has the particular set of skills... to lead...

BUY TICKET

The Bad Guys 2

The now-reformed Bad Guys are trying (very, very hard) to...

BUY TICKET

The Fantastic Four: First Steps

Against the vibrant backdrop of a 1960s-inspired,...

BUY TICKET

Climate change from a Kenyan Perspective

Climate Change from a Kenyan Perspective: What to...

BUY TICKET

Yoga In The Park

Yoga in the Park Nairobi - Edition TwoReconnect. Recharge....

BUY TICKET

Classics in Nairobi

🎶 Classics in Nairobi 2025 🎶Join the Kenya...

BUY TICKET
TAIFA LEO Logo

Mitandao ya kijamii

Maarufu sana

Magavana wanawake walaani biashara haramu ya ngono

August 10th, 2025

Kindiki na Murkomen wafichua Gachagua atakamatwa akirudi nchini kutoka Amerika

August 10th, 2025

Kalonzo, Wamalwa wakosoa mpango wa serikali kufidia waathiriwa wa maandamano

August 10th, 2025

Usikose

Mwanamke na wanawe wawili wafariki nyumba yao ikichomwa moto

August 16th, 2025

Gavana wa Kericho Mutai alivyotimuliwa na wabunge wa Kaunti mara mbili ndani ya miezi 10

August 16th, 2025

UDA yamalizana na Orwoba IEBC ikijaza nafasi yake katika Seneti

August 16th, 2025
Copyright © 2025 Nation Media Group. All rights reserved.