Kilio familia 89 Kwale zikihofia kufurushwa

Na SIAGO CECE FAMILIA 89 katika kisiwa cha Wasini, Kaunti ya Kwale, zinahofia kufurushwa makwao, baada ya mwekezaji wa kibinafsi kuanza...

OCPD Athi River aagizwa kulinda shamba la Sh1b

Na RICHARD MUNGUTI AFISA mkuu (OCPD) wa kituo cha polisi cha Athi River, Kaunti ya Machakos ameamriwa awafukuze wavamizi katika shamba...

Mahakama yaikabidhi kampuni ya Njenga Karume shamba la Kiambu

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA ya Rufaa Ijumaa iliwapokonya wanachama 600 wa kampuni ya Gitamaiyu, Kiambu shamba lao la ekari 512 la...

Mtu na mkewe kizimbani kwa wizi wa shamba la mamilioni

Na RICHARD MUNGUTI MKE na mume Alhamisi walishtakiwa kwa kughushi  hatimiliki ya shamba yenye thamani ya Sh20 milioni. Dkt Joseph Wagura...

Akiri alipokea mamilioni kununulia wanakijiji shamba

Na RICHARD MUNGUTI KINARA wa shirika la kuboresha makao ya wakazi wa vijijini Bi Jane Weru Jumatatu alikiri kuwa alipokea pesa kutoka kwa...

Mzee akana ulaghai wa hatimiliki ya shamba Kawangware

[caption id="attachment_6206" align="aligncenter" width="800"] David Wanyee Kamuyu akiwa kiziambani kwa ulaghai Mei 21, 2018. Picha/...

Mvua yazuia mashahidi wa kesi ya Konza City kufika kortini

[caption id="attachment_5602" align="aligncenter" width="800"] Wakurugenzi wa kampuni ya mashamba ya Malili, kaunti ya Makueni wakiwa...

Matiba alirudisha shamba alilonyakua kujenga shule, mahakama yaambiwa

Na RICHARD MUNGUTI MENEJA mkuu wa kampuni ya Muchanga Investment Limited (MIL) Bw Dimitri Da Gama Rose aliambia mahakama kuu Alhamisi...

Ninavuta bangi ili nipate nguvu za kuchapa kazi shambani, mshukiwa aambia mahakama

Na STEPHEN MUNYIRI MWANAMUME aliyekamatwa akiwa na bangi, Jumatano aliishangaza mahakama moja mjini Karatina, alipomwambia hakimu kwamba...

Meneja atetea kampuni kuhusu umiliki wa shamba la Sh8 bilioni

[caption id="attachment_4672" align="aligncenter" width="800"] Wakili Cecil Miller (kulia) akizugumza na mteja wake, meneja mkuu wa kampuni...

Mwanamke akana ulaghai wa shamba la Sh525 milioni

[caption id="attachment_2951" align="aligncenter" width="800"] Joyce Wanjiru Nderi almaarufu Mercy Nyambura Kanyara akiwa kizimbani Jumanne...

Mke aruka buda katika kikao cha kugawa ardhi

Na CORNELIUS MUTISYA MAMA wa hapa alidhihirisha ujasiri usio wa kawaida alipomruka mumewe katika kikao cha wazee wa ukoo waliokuwa...