Jeshi laua magaidi 4 waliovamia kambi yao

KALUME KAZUNGU na STEPHEN ODUOR JESHI la Kenya (KDF) liliwaua washukiwa wanne wa al-Shabaab waliojaribu kuvamia kambi ya jeshi eneo la...

Wanajeshi 53 wauawa katika shambulio la kigaidi Mali

Na AFP BAMAKO, MALI WANAJESHI 53 wa Mali wameuawa baada ya kituo chao kilichoko Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo kushambuliwa na...

Waliofariki Sri Lanka kwa mashambulizi wafika 300

Na MASHIRIKA IDADI ya watu waliofariki nchini Sri Lanka kutokana na msururu wa mashambulio ya bomu mnamo Jumapili imefikia 300, wamesema...

New Zealand kutathmini upya sheria za umiliki wa bunduki

Na MASHIRIKA WELLINGTON, New Zealand WAZIRI Mkuu wa New Zealand, Jacinda Arden, amesema taifa lake limeanza kutathmini upya sheria ya...

Washukiwa wa shambulizi la Garissa kujitetea Machi 21

Na RICHARD MUNGUTI WASHUKIWA watano wa ugaidi wa shambulizi la Chuo Kikuu cha Garissa waliopatikana na hatia ya kuwaua wanafunzi 144 wa...

TAHARIRI: Polisi mpakani wachunguzwe

NA MHARIRI TANGU shambulizi la kigaidi litokee katika jiji la Nairobi, kumekuwa na mjadala wa kila aina kuhusu chanzo chake. Jambo...

Shabaab 52 wauawa katika shambulizi

VALENTINE OBARA na AFP WANAJESHI wa Amerika waliwaua magaidi 52 wa kundi la al-Shabaab nchini Somalia usiku wa kuamkia jana kwa kurusha...

SHAMBULIO: Historia ya kikosi cha Recce

Na LEONARD ONYANGO Pendekezo la kuunda kikosi maalumu cha Recce katika kitengo cha GSU lilianza kutolewa na aliyekuwa Waziri wa...

SHAMBULIO: Matukio makuu ya kigaidi awali hapa Kenya

Na VALENTINE OBARA MASHAMBULIO mengi ya kigaidi yametokea nchini Kenya tangu Jeshi la Taifa (KDF) lilipoingia Somalia kukabiliana na...

SHAMBULIO: Ni miaka 3 kamili tangu Al Shabaab waue wanajeshi El Adde

Na WYCLIFFE MUIA SHAMBULIO la Jumanne katika hoteli ya Dusit eneo la Riverside jijini Nairobi lilitokea miaka mitatu kamili baada ya...

Polisi waonya huenda Al-Shaabab watekeleze uvamizi Ramadhan

Na BERNARDINE MUTANU POLISI wamewatahadharisha Wakenya kuhusu uwezekano wa magaidi wa Al-Shabaab kutekeleza mashambulio wakati wa mwezi...

Uingereza yawapa onyo raia wake kuhusu shambulio la kigaidi Kenya

Na STELLA CHERONO UINGEREZA imetoa tahadhari ya usafiri kwa raia wake wanaoishi ama wanaotembelea Kenya dhidi ya tishio la ugaidi na...