Sheffield United yaduwaza Manchester United ligini kwa kuichapa 2-1 ugani Old Trafford

Na MASHIRIKA MANCHESTER United walipoteza fursa nzuri ya kurejea kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) mnamo Januari 27...

Liverpool watoka nyuma na kurefusha mkia wa Sheffield United kwenye EPL

Na MASHIRIKA MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), Liverpool walitoka nyuma na kuwapokeza Sheffield United kichapo cha 2-1...

Sheffield United wakosa kupata alama wala bao katika mechi tatu za kwanza EPL

Na MASHIRIKA LIMBUKENI wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), Leeds United, walisubiri hadi dakika za mwisho kuwapokeza Sheffield United...

Sheffield United wafundisha vijana wa Mourinho kusakata boli

Na CHRIS ADUNGO SHEFFIELD United walisajili ushindi wao wa kwanza tangu kurejelewa kwa kipute cha Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) katika...

EPL kurejelewa Juni 17

Na CHRIS ADUNGO KAMPENI za Ligi Kuu ya Uinegreza (EPL) sasa zitarejelewa Juni 17, 2020, kwa mechi mbili zitakazokutanisha Aston Villa na...

‘HATUNA KIFANI’: Liverpool yachapa Sheffield United 2-0

Na MASHIRIKA LIVERPOOL, Uingereza KOCHA Jurgen Klopp alikuwa mwenye furaha tele baada ya vijana wake wa Liverpool kuchapa Sheffield...