Azma ya Shujaa ni kujiinua Dubai 7s

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya taifa ya raga ya wachezaji saba kila upande ya Kenya Shujaa inatarajiwa kuwa na kibarua kigumu inapolenga...

Shujaa yarejea nyumbani na majeraha Kabras ikikwamilia juu ya ligi ya Kenya Cup

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya taifa ya raga ya wachezaji saba kila upande maarufu kama Kenya Shujaa imerejea nyumbani Jumapili kutoka nchini...

Shujaa yajizolea alama 10 Dubai 7s ikimaliza ya nane

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya taifa ya raga ya wachezaji saba kila upande ya Kenya maarufu kama Shujaa ilimaliza kampeni yake ya Dubai...

Shujaa yakaribishwa Dubai 7s kwa kichapo kutoka Amerika

Na GEOFFREY ANENE KENYA Shujaa imeanza duru ya kwanza ya Raga za Dunia za 2021-2022 ya Dubai Sevens vibaya baada ya kuchapwa 14-7 na...

Shujaa yafanya mazoezi ya kwanza mbele ya mashabiki Japan

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya Kenya Shujaa iliendelea kufanya matayarisho ya Olimpiki 2020 jijini Kurume nchini Japan bila hofu baada ya...

Shujaa, Lionesses wala rungu kali fainali ya Madrid Sevens

Na GEOFFREY ANENE TIMU za taifa za raga ya wachezaji saba kila upande za Kenya Shujaa na Lionesses zilipokea vichapo vikali dhidi ya...

Shujaa na Lionesses wararua wenyeji Uhispania raga ya Madrid Sevens

Na GEOFFREY ANENE TIMU za taifa za raga ya wachezaji saba kila upande za Kenya Shujaa na Lionesses zimekamilisha siku ya kwanza ya duru...

Shujaa yaridhika nambari mbili Madrid 7s Lionesses ikivuta mkia

Na GEOFFREY ANENE KENYA ilikamilisha mashindano ya kwanza ya raga ya wachezaji saba kila upande ya Madrid Sevens ya wanaume katika...

Shujaa na Lionesses kuelekea Uhispania usiku wa kuamkia Jumapili kwa raga ya kimataifa

Na GEOFFREY ANENE TIMU za taifa za raga za wachezaji saba kila upande za Kenya Shujaa (wanaume) na Lionesses (wanawake) Jumamosi usiku...

Shujaa, Lionesses wapata motisha ya Sh2.8 milioni kuenda Uhispania

Na GEOFFREY ANENE KAMATI ya Kitaifa ya Olimpiki ya Kenya (NOC-K) imepiga jeki timu za taifa za Shujaa na Lionesses kwa maandalizi ya...

Shujaa waalikwa kucheza Uhispania na Ufaransa kabla ya msimu ujao wa Raga ya Dunia

Na CHRIS ADUNGO TIMU ya taifa ya wanaraga saba kila upande almaarufu Shujaa, imepata mwaliko wa kucheza nchini Uhispania na Ufaransa...

Mwanaraga wa Shujaa kusalia mkekani kwa muda mrefu baada ya jeraha

Na CHRIS ADUNGO MWANARAGA matata wa Shujaa, Oscar Dennis, atasalia mkekani kwa kipindi kirefu kuuguza jeraha la mguu wa kulia alilopata...