Simbas yakamilisha ziara ya Afrika Kusini kwa kishindo ikitupia jicho Uganda

Na GEOFFREY ANENE KENYA Simbas inaelekeza macho yake kwa Kombe la Afrika 2022 baada ya kukamilisha ziara yake ya Afrika Kusini kwa...

Simbas wahitimisha ziara na Wahispania

Na GEOFFREY ANENE KENYA Simbas itakamilisha ziara ya majuma matatu nchini Afrika Kusini dhidi ya Diables Barcelona kutoka Uhispania hii...

Simbas mawindoni kulipiza kisasi dhidi ya Namibia raga ya Stellenbosch Challenge

Na GEOFFREY ANENE Kenya Simbas inatarajiwa kuwa na kibarua kigumu itakapofufua uadui dhidi ya mabingwa wa Afrika Namibia kwenye...

Wanaraga wa Kenya Simbas wapata mwaliko wa kucheza dhidi ya wasomi wa Chuo Kikuu cha Stellenbosch nchini Afrika Kusini

Na CHRIS ADUNGO TIMU ya taifa ya wanaraga 15 kila upande, Kenya Simbas, imepangiwa kushiriki mechi mbili dhidi ya kikosi mseto cha Chuo...

Odera akanusha anataka kutoroka Simbas kujiunga na Shujaa

Na GEOFFREY ANENE KOCHA wa timu ya Kenya ya raga ya wachezaji 15 kila upande Paul Odera amepuuzilia mbali madai kuwa anamezea mate...

Simbas kutumia kipute cha raga ya Afrika kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia

Na CHRIS ADUNGO KIPUTE cha kuwania Raga ya Kombe la Afrika mnamo 2022 sasa kitatumiwa na Kenya Simbas kufuzu kwa fainali za Kombe la...

Simbas watoa mwongozo mpya wa kuboresha raga nchini Kenya

Na CHRIS ADUNGO BENCHI ya kiufundi ya kikosi cha raga ya wachezaji 15 kila upande, Simbas, imebuni mwongozo mpya wa ukufunzi na...

Odera ataja kikosi cha Simbas kukabiliana na Zimbabwe raga ya Victoria Cup

Na GEOFFREY ANENE KENYA imetangaza kikosi chake cha Simbas kitakacholimana na Zimbabwe katika mechi ya mwisho ya raga ya wachezaji 15...

Lazima tujipange kabla ya mechi za marudiano – Odera

Na GEOFFREY ANENE KOCHA Paul Odera amekiri kuna kazi kubwa ya kufanywa kabla ya Simbas kualika Zambia (Agosti 24) na mabingwa watetezi...

Simbas walia kukosa mshahara wa Novemba

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya taifa ya raga ya wachezaji 15 kila upande almaarufu Kenya Simbas inadai Shirikisho la Raga la Kenya (KRU)...

Nahodha wa Simbas kukosa mechi kali dhidi ya Hong Kong

Na GEOFFREY ANENE NAHODHA Davis Chenge atakosa mechi ya Kenya Simbas ya kufa kupona dhidi ya Hong Kong ya kufuzu kushiriki Kombe la Dunia...

Romania yataja kikosi kitakachovaana na Simbas Bucharest

Na GEOFFREY ANENE NCHI ya Romania imetaja kikosi chake kitakachopimana nguvu na Kenya Simbas katika mechi ya raga ya wachezaji 15 kila...