#10YearChallenge: Ithibati ya uchumi kuimarika na teknolojia kukua

Na PETER MBURU WATUMIZI wa mitandao ya kijamii nchini wamekuwa wakiendesha kampeni ambayo imepata umaarufu siku mbili zilizopita, ambapo...

Daktari ampasua mfungwa makalio na kumtoa simu!

Na LUCY MKANYIKA MFUNGWA mmoja wa gereza la Manyani, anauguza majeraha mwilini baada ya kufanyiwa upasuaji katika hospitali ya rufaa ya...

iPhone ni za wanawake maskini, wanaume mabwanyenye hutumia Huawei – Utafiti

MASHIRIKA na PETER MBURU UTAFITI wa hivi majuzi umetoa matokeo ya kushangaza, baada ya kubaini kuwa wengi wa watumiaji wa simu za iPhone...

Apple yazindua simu ghali zaidi, iPhone XS Max

MASHIRIKA Na PETER MBURU Los Angeles, AMERIKA KAMPUNI ya kutengeneza simu Apple imezindua simu mpya ambayo inagharimu zaidi ya Sh100,000,...

Aua mkewe kwa kupokea simu ya dume lingine

Na BENSON AMADALA MWANAMUME alimshambulia mke wake kwa panga katika kijiji cha Shivakala, Kaunti ya Kakamega, na kumuua kwa kupigiwa...

Vijana sasa wajipata mateka wa mikopo ya simu

Na MWANDISHI WETU MAELFU ya vijana jijini Nairobi sasa ni mateka wa madeni baada yao kushindwa kulipa mikopo wanayochukua kupitia simu...

Mwanafunzi ashtuka kuambiwa adhabu ya kuiba simu ni kifo

Na RICHARD MUNGUTI MWANAFUNZI wa shule ya upili mwenye umri wa miaka 18 alishtakiwa Jumanne kwa wizi wa mabavu ambao adhabu yake ni kifo...

Matrilioni ya pesa sasa hutumwa kwa simu

Na BERNARDINE MUTANU Biashara kwa kutumia simu imeendelea kuimarika nchini. Kufikia Desemba 31, 2017, Sh1.1 trilioni zilitumwa au...

Wakenya wengi wanapenda simu za Tecno – Utafiti

Na CHRIS ADUNGO KAMPUNI ya Uchina, Transsion Holdings inaongoza kwa mauzo ya simu za mkononi katika soko la Kenya kulingan na...

Kwa kila bao atakalofunga Salah, tutawapa wateja wetu dakika 11 za maongezi bila malipo, yasema Vodafone Misri

Na GEOFFREY ANENE WATEJA wa kampuni ya mawasiliano ya Vodafone nchini Misri wamo mbioni kupata dakika 11 za bure za mjazo wa simu. Kwa...

Barclays yazindua apu kuwapa wateja mikopo

Na BERNARDINE MUTANU Benki ya Barclays imezindua matumizi ya teknolojia ya simu ambayo yatasaidia wawekezaji wadogo kupata mikopo kwa njia...

Dida amtaka Uhuru aheshimu Raila

Na LEONARD ONYANGO ALIYEKUWA mwaniaji wa urais Abduba Dida amemrai Rais Uhuru Kenyatta amheshimu kinara wa muungano wa NASA Raila Odinga...