Sindwele amtoroka dereva wake kutokana na ‘uchochole’

Alifika shuleni Sidindi wakati mbaya. Alipouliza kama kampata Pengo, aliambiwa kuwa mwenzake huyu alikuwa kahudhuria warsha juu ya njia...

HADITHI: Sindwele na Pengo wawapa wenzao ‘maagano spesheli’

NA SHIUNDU MUKENYA SHUGHULI za kawaida zilianza kuchukua sura tena baada ya likizo fupi. Shuleni Sidindi, shughuli ziling’oa nanga...

VITUKO: Mzee Pengo atua Bushiangala akitumai kurina vya Asumini

Na SAMUEL SHIUNDU “UTAFURAHIA kukutana naye” Pengo alihakikishiwa kwa mara ya ngapi sijui, “Si Ukarimu ule aliojaliwa. Sikwambii...

VITUKO: Mwinyi aamua kumwondoa fahali mmoja zizini, Sindwele ndiye hasa!

Na SAMUEL SHIUNDU MARA mbili sasa, Mwinyi alikuwa kapoteza kesi dhidi ya wadogo wake wa kazi waliotunduka. Hali hii ilimchukiza si...

VITUKO: Baada ya dhifa ya Sindwele, Pengo afumaniwa na mke, aishi kama panya

Na SAMUEL SHIUNDU FURAHA ya Sindwele ilikuwa ya kupigiwa mfano chambilecho waambaji. Alihitaji sherehe. Alijua kuwa angeshinda kesi yake,...

VITUKO: Sindwele akutikana barabarani si wa maji si wa chakula, adhaniwa kafariki

Na SAMUEL SHIUNDU TANGU atuhumu njama ya kufurushwa shuleni, Sindwele alijikakamua kutekeleza wajibu wake wa ualimu kama...

VITUKO: Sindwele amfurusha Msodai nyumbani kwa Pengo kwa kukerwa na maudhi yake

NA SAMUEL SHIUNDU MSODAI alipochapuka kutoka nyumbani mwa jiraniye Pengo, alibisha kwa Pengo. “Karibu ndani shemeji, naelekea madukani...