Onkar Rai aibuka mwanamichezo bora Kenya mwezi Juni

Na AGNES MAKHANDIA DEREVA mkazi wa Kaunti ya Nakuru, Onkar Rai ndiye mshindi wa mwezi Juni wa tuzo ya mwanamichezo bora wa Chama cha...

SJAK yatangaza orodha ya wawaniaji wa tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka

Na GEOFFREY ANENE ORODHA ya wawaniaji wa Tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka nchini Kenya ya msimu 2018-2019, imetangazwa. Tuzo hii,...

Umaru Kasumba aibuka mchezaji bora wa KPL Aprili

Na GEOFFREY ANENE MGANDA Umaru Kasumba ndiye mchezaji bora wa tuzo ya Waandishi wa Habari za Michezo wa Kenya (SJAK) wa mwezi...