Sofapaka wampa kigogo Elly Asieche utepe wa unahodha

Na CHRIS ADUNGO KUONDOKA kwa beki na nahodha George Maelo kambini mwa Sofapaka kumechochea kikosi hicho kilichotawazwa mabingwa wa Ligi...

Sofapaka wataka AFC Leopards waombe msamaha kwa kuwadunisha

Na CHRIS ADUNGO KIKOSI cha Sofapaka kinachoshiriki Ligi Kuu ya Kenya (KPL) sasa kinataka mwenyekiti wa AFC Leopards, Dan Shikanda,...

Mt Kenya, Vihiga washuka ngazi, Bandari namba 2

Na JOHN ASHIHUNDU LIGI Kuu ya Kenya (KPL) inayodhaminiwa na kampuni ya kamari ya SportPesa ilimalizika jana katika viwanja mbalimbali,...

Bandari, Sofapaka ni toka nipite wakiwania namba 2

Na GEOFFREY ANENE MABADILIKO sita yameshuhudiwa kwenye jedwali la Ligi Kuu ya Kenya (KPL) ambayo Gor Mahia inaongoza bila presha kutoka...

Kigonya aishangaa Sofapaka kumnyima barua licha ya kandarasi kukatizwa

Na CECIL ODONGO ALIYEKUWA mnyakaji wa Sofapaka Mathias Kigonya ameulaumu uongozi wa Sofapaka kwa kukataa kumpa barua ya...

Sofapaka yabandua Tusker SportPesa Shield

Na Geoffrey Anene SOFAPAKA imeingia nusu-fainali ya Soka ya SportPesa Shield baada ya kutoka nyuma bao moja na kuzamisha Tusker 2-1...

Nilijua tungeinyorosha Ulinzi Stars, asema kocha Baraza

Na CHRIS ADUNGO KOCHA wa Sofapaka, John Baraza amesema alikuwa na hakika kuwa timu yake ingeizaba Ulinzi Stas wikendi. Mabao kutoka...

Sofapaka yamtimua Waliaula baada ya Ssimbwa kujiuzulu

Na CHRIS ADUNGO SIKU moja baada ya kocha mkuu Sam Ssimbwa kujiuzulu, Sofapaka Jumanne imempiga kalamu meneja wa timu hiyo Willis...

John Baraza sasa kuwaongoza ‘Batoto Ba Mungu’

Na CHRIS ADUNGO MCHEZAJI wa zamani wa Harambee Stars John Baraza amepata nafasi ya pili kuongoza kikosi cha Sofapaka baaada ya kocha Sam...

Ssimbwa ajiuzulu akilalamikia wachezaji kumgomea

Na CHRIS ADUNGO MKUFUNZI wa Batoto Ba Mungu, Sam Ssimbwa amejiuzulu nafasi ya kocha mkuu Jumapili. Kocha huyo mzaliwa wa Uganda...

Zoo yajifufua, Sofapaka yazikwa

Na CHRIS ADUNGO TIMU ya Zoo Kericho Jumapili ilipata sababu ya kutabasamu baada ya kumaliza msururu wa kupoteza mechi ilipoizima Posta...