Kilifi Ladies FC Yaanzishwa Kuwasaidia Wasichana Wajiepushe Na Mimba Za Mapema

NA ABDULRAHMAN SHERIFF KAUNTI ya Kilifi ni mojawapo ya zile ambazo zimefahamika kuwa na wasichana wengi wanaojihusisha na mimba za...

Modern Coast Yazidi Kudidimia Supaligi ya Taifa

NA ABDULRAHMAN SHERIFF TIMU ya Mount Kenya United FC ilijihakikishia imerudi kwao nyumbani na pointi zote tatu za Supaligi ya Taifa...

Re Union yapiga moyo konde kujikaza kupanda ngazi

JOHN KIMWERE, NAIROBI MECHI za Kundi A kufukuzia taji la Nairobi West Regional League (NWRL) zinatazamiwa kushuhudia ushindani mkali...

Ingwe Youth wapania kuoanda ngazi msimu huu

Na JOHN KIMWERE AFC Leopards Youth imeibuka kati ya timu zinazotifua vumbi la kufa mtu kwenye mechi za Kundi A kuwania taji la Nairobi...

GACHIE SILVER BULLETS WALENGA KUPANDA DARAJA LA PILI

Na JOHN KIMWERE TIMU ya Gachie Silver Bullets imepania makubwa katika soka la humu nchini lakini uhaba wa ufadhili unadidimiza azma...

Mechi za Kundi B NWRL zawaka moto

Na JOHN KIMWERE MECHI za Kundi B kuwania Nairobi West Regional League (NWRL) ni miongoni mwa kampeni zinazoshuhudia ushindani wa kufa...

FC Talent inavyokuza talanta za vijana chipukizi

Na JOHN KIMWERE KLABU ya FC Talent ni miongoni mwa vikosi vinavyotifua vumbi la kufa mtu kwenye juhudi za kuwania ubingwa wa taji la...

Tulianza vibaya lakini tuna matumaini tutamaliza vyema – Mutuini Rangers

Na JOHN KIMWERE TIMU nyingi huanzishwa kwa makusudio tofauti ikiwamo kukuza wanasoka chipukizi kufuzu kushiriki soka la kimataifa miaka...

Derby FC kupigana kufa kupona kupanda daraja

Na JOHN KIMWERE NI kweli wahenga hakupata mafuta kwa mgongo wa chupa walipoketi na kulonga kuwa 'Lisolokuwapo moyoni pia machoni...

Mwatate United yaendelea kuimarika

NA ABDULRAHMAN SHERIFF MWATATE United FC iliendelea kuwika na kuwa miongoni mwa timu zinazoweza kuibuka washindi wa Supaligi ya Taifa...

BIG 3 COAST LADIES TOURNAMENT: MTG United yajiondoa dimba la wanawake sababu ya mechi za ligi

NA ABDULRAHMAN SHERIFF MTG United FC imejiondoa kwenye mashindano ya siku moja ya Big 3 Coast Ladies Football Tournament yatakayofanyika...

Stima, Rangers zagawanya pointi debi ya Mombasa

NA ABDULRAHMAN SHERIFF Coast Stima na Modern Coast Rangers FC zilitoka sare ya kufunga mabao 2-2 wakati wa mechi yao ya kusisimua ya...