Wakazi walia kucheleweshewa soko

Na MAUREEN ONGALA WAFANYABIASHARA mjini Mariakani, Kaunti ya Kilifi, wamelalamikia hatua ya serikali ya kaunti hiyo kuchelewesha...

Wakazi wa Gatukuyu kupata soko jipya

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa eneo la Gatukuyu lililoko Gatundu Kaskazini, watanufaika kutokana na mradi wa ujenzi wa soko...

Matumaini kaunti ikisaka soko la maembe ng’ambo

NA STEPHEN ODUOR Serikali ya kaunti ya Tana River imeanza kuweka mikakati itakayoiwezesha kuuza zao la maembe katika masoko ya nchi za...

Vyoo vya soko la Witeithie vyabomolewa

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa kijiji cha Witeithie, Juja, Kaunti ya Kiambu, wameshangaa Jumanne asubuhi, wakati vyoo vyao walivyojengewa...

Ujenzi wa soko la kisasa Garissa wakaribia kukamilika

NA FARHIYA HUSSEIN UJENZI wa soko la kisasa katika Kaunti ya Garissa umefikia asimimia 75, amesema Waziri wa Ardhi katika kaunti hiyo...

Soko la Tononoka hatari, mtaalamu wa afya aonya

Na WINNIE ATIENO WATAALAMU wa afya wametoa tahadhari dhidi ya sehemu hatari katika Kaunti ya Mombasa ambapo wakazi wanaendelea kukiuka...

UVUNDO: Wakazi Tononoka wataka sehemu mbadala itafutwe kwa ajili ya soko

Na MISHI GONGO WAKAZI wanaoishi katika eneo la Tononoka mjini Mombasa, wameiomba serikali ya kaunti hiyo itafute sehemu mbadala kuweka...

Soko jipya la Limuru lafunguliwa

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Limuru wamepata afueni baada ya soko jipya la Limuru kufunguliwa rasmi. Gavana wa Kaunti ya Kiambu Dkt...

Afueni baada ya masoko Githurai kufunguliwa

NA SAMMY WAWERU Wafanyabiashara wa masoko ya Githurai wamepata afueni baada ya kuruhusiwa kuendeleza shughuli zao, wiki mbili baada ya...

Afueni kwa wafanyabiashara baada ya soko kufunguliwa

Na LAWRENCE ONGARO WACHUUZI wa kuuza vyakula katika Soko kuu la Madaraka , Makongeni, Thika wamepata afueni baada ya Soko hilo...

Ujenzi wa soko la Githurai waanza

Na SAMMY WAWERU UJENZI wa soko la Githurai maarufu kama Jubilee Market na lililoko eneobunge la Ruiru, Kaunti ya Kiambu,...

Miaka 10 baadaye, soko la Free Area, Nakuru halijakamilika

NA RICHARD MAOSI SOKO aliloanzisha Rais Uhuru Kenyatta akiwa waziri wa fedha mnamo 2009, katika eneo la Free Area, Kaunti ya Nakuru,...