MKASA WA SOLAI: Siasa zachelewesha fidia kwa waathiriwa

NA RICHARD MAOSI WAKAZI wa Solai katika Kaunti ya Nakuru wameadhimisha mwaka mmoja tangu mkasa wa mafuriko uwapate ambapo watu 48...

SOLAI: Makabiliano ya polisi na wakazi wanaotaka fidia baada ya mkasa

NA RICHARD MAOSI WAKAZI wa eneo la Solai, Kaunti ya Nakuru Jumatano walikabiliana na polisi walipozuiliwa kuhudhuria mkutano wa amani...

SOLAI: Aibu kwa maafisa wa serikali kujinufaisha na misaada ya waathiriwa

Na MAGDALENE WANJA Miezi minane baada ya mkasa wa bwawa la Solai kutokea, maswali yanaendelea kuibuka mwaka ukiisha kuhusu kama ilikuwa...

Mmiliki wa bwawa la Solai azuiliwa kusafiri ng’ambo

Na RICHARD MUNGUTI MMILIKI wa kampuni za Solai zilizojenga bwawa la Solai ambalo lilipasuka na kusababisha vifo vya watu 47 amezuiliwa na...

Mahakama kuamua iwapo itazuru bwawa la Patel

NA PETER MBURU Mahakama ya kutatua mizozo ya mashamba na mazingira Nakuru imesema kuwa itaamua ikiwa itazuru eneo la mkasa wa bwawa la...

Ni lawama tu kwenye ripoti ya uchunguzi wa mkasa wa Solai

NA PETER MBURU Ripoti ya uchunguzi kuhusu mkasa wa bwawa la Patel, Solai kutoka kwa mashirika ya kutetea haki za binadamu imelaumu idara...

Mkasa wa Solai: KHRC yalaumu taasisi za serikali

Na FRANCIS MUREITHI TUME ya kutetea haki za kibinadamu (KHRC) imelaumu taasisi za serikali kwa kupuuza dalili za mapema kabla ya kutokea...

Malaika aliyeponea kifo Solai ampa mamaye tabasamu

[caption id="attachment_6173" align="aligncenter" width="800"] Mama Jane Akur (kushoto) na mwanawe Patrick Wekesa wakiwa katika hospitali...

Rais awavulia kofia wenyeji eneo la Solai

Na VALENTINE OBARA WAKAZI wa Solai, Kaunti ya Nakuru wamesifiwa kuwa mashujaa kwa ujasiri walioonyesha walipookoa wenzao wakati bwawa...

Baada ya mkasa wa Solai, maelfu sasa wanaishi kwa hofu

NA PETER MBURU Mkasa wa bwawa la Solai ambao uliwaua zaidi ya watu 40 sasa umeamsha hofu ya miaka mingi baina ya maelfu ya wakazi wa...

SOLAI: Serikali yaondoa maji katika mabwawa mengine mawili

Na ERIC MATARA WAHANDISI wa serikali Ijumaa waliondoa maji yaliyokuwa katika mabwawa mengine mawili yaliyo karibu na bwawa la Patel,...

DPP amtaka Boinnet ampe ripoti ya uchunguzi wa mkasa wa Solai kwa siku 14

Na ERIC MATARA Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) Ijumaa alitaka uchunguzi ufanywe kubaini kiini cha mkasa wa bwawa la Patel eneo la...