Hafla ya Uhuru yakera maafisa wa Somalia

NA AGGREY MUTAMBO NAIROBI, KENYA RAIS Uhuru Kenyatta alijipata pabaya baada ya kualika maafisa wa jimbo la Somaliland katika dhifa...

Mlipuaji aua watu 13 katika hoteli Somalia

Na MASHIRIKA BELEDWENYE, Somalia WATU 13 waliuawa Jumamosi nchini Somalia, baada ya mlipuaji wa kujitoa mhanga kujilipua kwenye...

DOUGLAS MUTUA: Kenya isikubali kutishwa na Somalia

Na DOUGLAS MUTUA IJAPOKUWA naishi nchi ya watu, daima mambo mawili hunikumbusha kuwa mimi ni Mkenya mzalendo: Michezo ya riadha na...

Kenya yasitisha safari za ndege Somalia

Na MWANDISHI WETU KENYA Jumatatu ilisitisha safari za ndege kwenda na kutoka Somalia kuashiria kuwa uhusiano kati ya mataifa hayo...

DOUGLAS MUTUA: Somalia ni mseto wa vituko na udikteta

Na DOUGLAS MUTUA TAIFA jirani la Somalia haliishi vituko, lakini hiki cha juzi nusra kinitegue mbavu! Kuna watu jasiri huko. Mkuu wa...

Majeshi pinzani ya Somalia yakabana

Na MANASE OTSIALO SHUGHULI za kibiashara Jumatatu zilivurugwa katika mji wa Mandera baada ya mapigano kuchacha kati ya makundi mawili ya...

MARY WANGARI: Kenya na Somalia zitafute njia ya kutatua mzozo huu wa kidiplomasia

Na MARY WANGARI MWISHONI mwa mwaka uliopita, Somalia ilitangaza kwamba imekatiza uhusiano wake na Kenya, hatua ambayo ilivutia mjadala...

Somalia yakatiza uhusiano wa kidiplomasia na Kenya

Na MASHIRIKA NAIROBI, KENYA SERIKALI ya Somalia imekatiza uhusiano wake wa kidiplomasia na taifa la Kenya huku mgogoro kati ya...

Somalia yamuita balozi wake wa Kenya mzozo ukitokota

Na BENSON MATHEKA NAIROBI, Kenya SOMALIA imemfukuza balozi wa Kenya nchini humo huku mzozo mpya katika ya nchi hizi mbili...

Hofu Ethiopia ikianza kuuza miraa Somalia

Na DAVID MUCHUI WAKUZAJI miraa nchini wameeleza wasiwasi kwamba huenda wakapoteza soko la Somalia kabisa, baada ya Ethiopia kuanza...

Somalia yatoa msaada wa madaktari kuisaidia Italia kukabili corona

MASHIRIKA NA FAUSTINE NGILA SERIKALI ya taifa la Somalia Jumatatu imethibitisha kwamba imetuma madaktari 20 nchini Italia kusaidia...

Rais Kenyatta akutana na Rais wa Somalia

Na CHARLES WASONGA RAIS wa Misri Abdel Fattah El-Sisi alipanga mkutano wa Jumanne kati ya Rais Uhuru Kenyatta na mwenzake wa Somalia...