SoNy katika hatari ya kuondolewa KPL isipocheza leo Jumamosi

Na JOHN ASHIHUNDU Klabu ya SoNy Sugar itaondolewa katika Ligi Kuu ya Kenya (KPL) iwapo itakosa kufika Moi Stadium kucheza leo Jumamosi...

KCB yachupia kilele cha ligi baada ya sare

Na GEOFFREY ANENE KCB imerukia juu ya jedwali la Ligi Kuu (KPL) baada ya mechi sita kati ya saba zilizosakatwa katika raundi ya pili...

Raha tele kwa kocha timu yake kuangusha Mathare

Na CECIL ODONGO MKUFUNZI  wa Klabu ya SoNy Sugar Patrick Odhiambo hakuweza kuficha furaha ribo ribo zilizomjaa baada ya wanasukari hao...

SoNy Sugar yatimua wachezaji 4 licha ya kuburuta mkia ligini

Na CECIL ODONGO KLABU ya SoNy Sugar inayovuta mkia katika msimamo wa jedwali la ligi ya KPL imeamua kuwatema wachezaji wake wanne kabla...

Rangers yalenga nafasi ya 3 ikimenyana na SoNy Sugar

Na CECIL ODONGO KOCHA wa Klabu ya Posta Rangers Sammy ‘Pamzo’ Omollo amesema kwamba anatarajia upinzani mkali kutoka kwa Klabu ya...

Sony yaramba Ulinzi kwenye ligi kuu ingawa kwa jasho kuu

Na GEOFFREY ANENE Kwa Muhtasari: Kevin Omondi alisukuma wavuni bao la pekee dakika ya 16 Kariobangi Sharks ilikabwa 2-2 na...