15 wasonga mbele Shield Cup, Ulinzi na Sofapaka zang’olewa

Na GEOFFREY ANENE TIMU 15 zilijikatia tiketi ya kushiriki mechi za raundi ya 16-bora za kipute cha SportPesa Shield, ambacho mshindi...

Kariobangi Sharks waanza vizuri safari ya kutetea taji la SportPesa Shield

Na GEOFFREY ANENE KARIOBANGI Sharks wameanza kutetea taji la soka ya SportPesa Shield kwa kishindo Jumamosi baada ya kupapura wenyeji...

Droo ya SportPesa Shield yatangazwa

Na GEOFFREY ANENE DROO ya soka ya SportPesa Shield ambayo mechi zitasakatwa kutoka Machi 16 hadi Juni 1, imefanywa, huku mabingwa watetezi...

Gor wainyeshea Assad 5-1 kwenye SportPesa Shield

Na GEOFFREY ANENE MABINGWA mara 10 wa Kombe la Rais, Gor Mahia walitinga raundi ya 32-bora ya kombe hili almaarufu sasa kama SportPesa...

Sh2 milioni kwa mshindi wa SportPesa Shield

Na GEOFFREY ANENE WADHAMINI wapya wa Kombe la Ngao (awali GOtv Shield), kampuni ya bahati nasibu ya SportPesa, wametangaza mgao wa tuzo wa...

Ratiba ya SportPesa Shield baada ya timu 5 kujiondoa

Na GEOFFREY ANENE KLABU za Mathare United, Chemelil Sugar, Zoo Kericho, Thika United na Nakumatt kutoka Ligi Kuu zimesusia mashindano ya...