Spurs wazidiwa ujanja katika gozi la Europa Conference League

Na MASHIRIKA TOTTENHAM Hotspur walilipia maamuzi ya kuacha nje wachezaji wao wa haiba kubwa wakati wa mechi ya Europa Conference League...

Bale angali tegemeo kubwa kambini mwa Spurs – Mourinho

Na MASHIRIKA MKUFUNZI Jose Mourinho amesema fowadi Gareth Bale ana uwezo wa kutamba katika kikosi chochote duniani kwa sasa na Tottenham...

Spurs wadhalilisha Man-United kwa kichapo cha 6-1 katika EPL ugani Old Trafford

Na MASHIRIKA JOSE Mourinho alirejea uwanjani Old Trafford na kuwaongoza Tottenham Hotspur kuwapepeta Manchester United 6-1 katika Ligi...

Son Heung-min arejea Spurs baada ya kutumikia jeshi la Korea Kusini kwa wiki tatu

  Na CHRIS ADUNGO FOWADI Son Heung-min wa Tottenham Hotspur amerejea jijini London, Uingereza baada ya kukamilisha kipindi cha...

Nyota wa Spurs akashifu mipango ya kurejelewa EPL kabla ya Covid-19 kudhibitiwa kabisa duniani

Na CHRIS ADUNGO BEKI Danny Rose wa Tottenham Hotspur amekashifu na kupinga vikali mipango ya vinara wa soka nchini Uingereza kurejelea...

‘Msiwakate mshahara wafanyakazi wa Tottenham’

Na CHRIS ADUNGO CHAMA cha mashabiki wa Tottenham Hotspur (THST) kinaamini kwamba “bado kuna muda” kwa usimamizi “kufanya maamuzi...

Spurs wana mtihani dhidi ya RB Leipzig Uefa

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza TOTTENHAM Hotspur ina mtihani mgumu inapokutana na RB Leipzig ya Ujerumani leo Jumatano usiku jijini...

Jose Mourinho awakasirisha Man-United

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza KOCHA Jose Mourinho amesema timu yake ya zamani, Manchester United haitamaliza miongoni mwa nne-bora...

Spurs, Foxes wapata meno ya kung’ata tena

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza KLABU za Tottenham Hotspur na Leicester City zilimaliza ukame wa kutoshinda kwenye Ligi Kuu baada ya...

TULIZIDIWA: Spurs yala kipigo kikali Uefa

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza KOCHA Mauricio Pochettino amekiri kwamba vijana wake wa Tottenham Hotspur walionekana kukata tamaa...

Nuksi zaandama Wanyama akirejea uwanjani, Spurs yalimwa na Leicester

Na GEOFFREY ANENE VICTOR Wanyama alirejea uwanjani kwa mikosi baada ya kukosa mechi 11 zilizopita, huku Tottenham Hotspur ikipigwa 2-1...

IKO SHIDA! ‘Kikosi cha Spurs hakijafikia kiwango cha kumridhisha Pochettino’

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza KOCHA Mauricio Pochettino wa Tottenham Hotspur amekiri kwamba kikosi chake bado hakijafikia kiwango...