Madiwani wavuna baada ya SRC kuidhinisha kila mmoja apewe Sh2 milioni za gari

Na CHARLES WASONGA TUME ya Mishahara na Marupurupu (SRC) imeidhinisha ruzuku Sh4.5 bilioni za kununua magari kwa madiwani wote 2,224...

SRC yapinga pensheni ya wabunge

Na CHARLES WASONGA TUME ya Kukadiria Mishahara na Marupurupu ya Watumishi wa Umma (SRC) sasa inataka Rais Uhuru Kenyatta kutotia saini...

Serikali yatetea SRC dhidi ya vitisho vya wabunge

Na VALENTINE OBARA SERIKALI Kuu imetetea Tume ya Mishahara na Marupurupu (SRC) dhidi ya wabunge wanaotaka kupunguzia tume hiyo fedha za...

Wabunge wasutwa kwa kupunguza bajeti ya SRC

Na CHARLES WASONGA WABUNGE wameshutumiwa vikali kwa kupunguza mgao wa fedha ambazo Tume ya Kukadiria Mishahara na Marupurupu (SRC)...

Walimu waunga mkono wabunge SRC ivunjwe

Na MWANDISHI WETU CHAMA cha Kitaifa cha Walimu (KNUT) kinataka Tume ya Mishahara ya Watumishi wa Umma (SRC) ifutiliwe...

SRC yapinga kortini marupurupu ya wabunge

Na WALTER MENYA HUENDA wabunge wakalazimika kurejesha mamilioni ya pesa ambazo walikuwa wamepokea kama marupurupu ya nyumba ikiwa Tume...

SRC yataka wabunge warejeshe marupurupu

Na DAVID MWERE TUME ya Kusimamia Mishahara ya Watumishi wa Umma (SRC), imetishia kushtaki wabunge ili korti iwashinikize...

Mabadiliko ya sheria ya SRC yaibua hofu

Na IBRAHIM ORUKO HOFU imekumba Tume ya Mishahara (SRC) baada ya Rais Uhuru Kenyatta kutia sahihi mabadiliko ya pamoja ya sheria inayompa...