Machar na Kiir wana siku zingine 100 kuunda utawala wa mseto

Na MASHIRIKA ENTEBBE, UGANDA RAIS wa Sudan Kusini Salva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar wamekubaliana kuahirisha kuunda...

Machar kukutana na baraza la UN, AU kuhusiana na amani

Na MASHIRIKA RIPOTI za hivi majuzi za siri zinafichua kuwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) na Baraza la Umoja wa Afrika...

Kiir apiga marufuku uimbaji wimbo wa taifa wakati hayuko

MASHIRIKA Na PETER MBURU RAIS wa Sudan Kusini Salva Kiir amepiga raia wa nchi hiyo kuimba wimbo wa taifa wakati wowote asipokuwa mahali...

MUTUA: Kalonzo atumie tajriba kuwapatanisha Riek Machar na Salva Kiir

Na DOUGLAS MUTUA MMOJA wa watu mashuhuri waliofanikisha kupatikana kwa uhuru wa Sudan Kusini kutoka Sudan ni aliyekuwa makamu wa rais wa...

Machar kutia saini mkataba wa amani na Salva Kiir

MASHIRIKA Na PETER MBURU HATIMAYE kiongozi wa waasi Sudan Kusini Riek Machar alikubali kutia saini mkataba wa maelewano ya amani na Rais...

Shinikizo kwa Kiir aachilie huru wafungwa wa kisiasa

AGGREY MUTAMBO na PETER MBURU  RAIS wa Sudan Kusini Salva Kiir anasukumwa na watetezi wa haki za binadamu kuwaachilia wafungwa wote wa...

Mkono mrefu wa sheria wamkamatia nchini Sudan Kusini

Na RICHARD MUNGUTI MENEJA wa kituo cha Petroli aliyetoroka kwa miaka minne alishtakiwa Ijumaa baada ya kupatikana nchini Sudan kusini. Bw...

Ilani yatolewa kwa Wakenya walioko Sudan Kusini

[caption id="attachment_1982" align="aligncenter" width="800"] Waziri wa Mashauri ya Kigeni, Bi Monica Juma. Picha/ Maktaba[/caption] Na...

Msemaji wa Machar kunyongwa kwa kujaribu kupindua serikali ya Sudan Kusini

[caption id="attachment_1476" align="aligncenter" width="800"] MSEMAJI wa kiongozi wa waasi Riek Machar, Bw James Gatdet Dak azogwa na...