Mgogoro wa Sudi ulivyofichua siri ya vita vya UhuRuto

Na LEONARD ONYANGO KIZAAZAA wakati wa kukamatwa kwa Mbunge wa Kapseret, Bw Oscar Sudi kimefichua namna uhusiano baina ya Rais Uhuru...

Sudi ndani kwa siku mbili zaidi

RICHARD MAOSI NA JOSEPH OPENDA Mbunge wa Kapseret Oscar Sudi, amezuiliwa kwa siku mbili zaidi katika kituo cha polisi cha Nakuru...

Sudi akaangwa kudai alilelewa Kikristo

Na PETER MBURU MBUNGE wa Kapseret Oscar Sudi amejisifu namna alilelewa vyema, akafunzwa maadili na Ukristo utotoni, malezi ambayo anadai...

Siasa hizi zitawaponza, Sudi awaambia Matiang’i na Kibicho

NA OSCAR KAKAI Mbunge wa Kapseret, Oscar Sudi, amedai kwamba Waziri wa Usalama wa ndani Dkt Fred Matiang'i na katibu wa wizara hiyo...

‘Rais ukiwa eneobunge langu jisikie nyumbani’

Na MWANGI MUIRURI IMEKUWA ni wiki ya ufasaha wa usemi ndani ya mkorogo maalumu ambao ni siasa ndani ya Jubilee na ambapo kilele kilikuwa...

JAMVI: Wandani wa Ruto wamtaka amkabili Uhuru akigombea kiti cha Waziri Mkuu 2022

Na PETER MBURU MJADALA kuhusu kuandaliwa kwa kura ya maamuzi baada ya timu BBI iliyoundwa na Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa ODM...

Wakati wa kuvunja serikali umefika, viongozi Rift Valley wamwambia Uhuru

Na TITUS OMINDE BAADHI ya wabunge na wafuasi wa chama cha Jubilee wanamtaka Rais Uhuru Kenyatta avunje serikali iwapo anaamini kuwa...