Fahamu mengi kuhusu nyama ya sungura

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com SUNGURA ni mnyama ambaye faida ziambatanazo na ufugaji wake ni nyingi. Nyama ya...

Ukikutana na hizi ‘kanda mbili’ utajua ni za sungura?

Na SAMMY WAWERU IKIWA imeorodheshwa kati ya nyama nyeupe, ambayo ni mwororo na yenye ladha tamu, ni nadra kuipata kwenye hoteli au...

AKILIMALI: Avuna hela kutokana na ufugaji sungura na njiwa jijini Nairobi

Na WINNIE ONYANDO SUNGURA kando na kutumika kama chakula miongoni mwa baadhi ya watu, mnyama huyo huwa kivutio hasa miongoni mwa...

AKILIMALI: Sungura ‘mjanja’ ila thamani yake kubwa ukizamia ufugaji wake

Na PETER CHANGTOEK HUKU akivalia bwelasuti yenye rangi ya kijani, Emanuel Adundo, awakagua sungura wake waliomo ndani ya vibanda...

BIASHARA MASHINANI: Lishe mbovu nusura ifagie sungura wake; akaokoa hali

Na PETER CHANGTOEK MAUREEN Wanyaga, 29, aliwapoteza wazazi wake mnamo 2005 kwa ajali ya barabarani, walipokuwa wakienda kumtafutia shule...

AKILIMALI: Binti mfugaji hodari wa sungura

NA PETER CHANGTOEK UFUGAJI wa sungura ni shughuli ambayo imekuwa ikiendeshwa aghalabu na vijana wa kiume. Lakini sasa kina dada...

RIZIKI NA MAARIFA: Amekuwa na wengi mifugo, lakini aungama sungura ndio ‘kitu’ bora kwake

Na CHARLES WASONGA na CORNELIUS MUTISYA SAFARI yetu ya kikazi ilianza saa mbili asubuhi. Tuliabiri bodaboda kutoka mjini Machakos na...

Matumizi ya mkojo wa sungura katika ukuzaji mboga

NA RICHARD MAOSI Takriban kilomita mbili kutoka mjini Naivasha tunakumbana na wanafunzi wa shule ya wasichana ya St Claire of Assisi,...

AKILIMALI: Mkojo wa sungura ni muhimu katika uboreshaji udongo wa kilimo

Na SAMMY WAWERU SUALA la udongo wenye asidi kupita kiasi ni kizingiti kikuu kwa wakulima wengi nchini Kenya. Waliozingirwa na...

AKILIMALI: Aina ya sungura bora na walio rahisi zaidi kufuga nchini

Na CHRIS ADUNGO AKILIMALI ilipozuru Shule ya Upili ya Mercy Njeri katika mtaa wa Kiamunyi viungani mwa mji wa Nakuru, tulipata mengi ya...

AKILIJIBU: Naomba kujua manufaa ya mkojo wa sungura

SWALI: Ninaitwa GODWIN BARAKA kutoka Cheptiret, Eldoret. Mimi ni mkulima mdogo na ninahitaji kujifunza kutoka kwenu. Ninafuga sungura na...

Sungura 27 wahangaisha maafisa katika kituo cha treni

MASHIRIKA na VALENTINE OBARA NEW YORK, AMERIKA MAAFISA wa kutunza wanyama walikabiliwa na wakati mgumu kukamata sungura 27 waliotupwa...