Kocha Genot Rohr awataka vijana wake kuepuka makosa madogomadogo

Na MASHIRIKA na CECIL ODONGO MKUFUNZI wa timu ya taifa ya Nigeria, Genot Rohr, amewataka wachezaji wake kuyaepuka makosa madogomadogo...