Wandani wa Ruto eneo la Rift Valley sasa wafyata ndimi

ERIC MATARA na CHARLES WASONGA BAADHI ya wabunge na maseneta kutoka Rift Valley ambao wamekuwa watetezi sugu wa Naibu Rais William Ruto...

Sasa maseneta 22 wamwandikia Lusaka kupinga kutimuliwa kwa Murkomen na Kihika

Na CHARLES WASONGA MASENETA 22 wa Jubilee wamemwandikia barua Spika wa Seneti Kenneth Lusaka wakipinga mabadiliko yaliyotekelezwa kwa...