TAHARIRI: Ni usaliti kulipia mabwawa hewa Sh80b

Na MHARIRI RIPOTI kutoka mahakamani zinaashiria kwamba Kenya huenda ikalazimika kulipa hadi Sh80 bilioni kwa sababu ya mabwawa ambayo...

TAHARIRI: Tushabihiane na hadhi yetu katika riadha

Na MHARIRI SI siri kuwa Kenya ni taifa linaloogopwa sana katika michezo ya riadha hasa fani ya mbio. Ni taifa ambalo mataifa mengine...

TAHARIRI: Wazazi, walezi wazungumze na watoto wao likizo hii fupi

Na MHARIRI KATIKA siku za hivi karibuni, wanafunzi wa shule mbalimbali nchini wamekuwa wakijihusisha na uchomaji wa shule na mabweni...

TAHARIRI: Wakenya sharti waambiwe ukweli kuhusu kisa cha Kamiti

Na MHARIRI KISA cha kutoroka kwa wafungwa watatu kutoka Gereza Kuu la Kamiti kinaibua maswali mengi kuhusu uajibikaji wa vyombo vya...

TAHARIRI: Kenya ina kila sababu kujali hali ya majirani

Na MHARIRI KENYA ina sababu nyingi za kushughulikia changamoto zinazokumba mataifa jirani. Kwa muda sasa, mataifa jirani ya Ethiopia...

TAHARIRI: Aibu wanasiasa kumwaga pesa njaa ikikeketa

Na MHARIRI MATUKIO ya wanasiasa yanayoshuhudiwa nchini yamekuwa yakiwashangaza wananchi wengi hasa namna ambavyo kampeni hizo...

TAHARIRI: Serikali iepuke mvutano na Miguna Miguna

Na MHARIRI MWANAHARAKATI na Wakili aliye na makao nchini Canada, Miguna Miguna hatimaye ametangaza kuwa yupo njiani anarejea nchini...

TAHARIRI: Wanasiasa waache kuhadaa kwa spoti

KITENGO CHA UHARIRI KATIKA kipindi hiki cha kampeni, bila shaka wanasiasa mbalimbali watajitokeza kwa hali na mali kubuni miradi ya kila...

TAHARIRI: Magavana walipe madeni ya kaunti

KITENGO CHA UHARIRI RIPOTI ya Tume ya Ugavi wa Mapato (CRA) iliyotolewa Jumanne inabainisha wazi kuwa magavana 22 wanaohudumu muhula wa...

TAHARIRI: Serikali ilijikwaa kwa kutangaza likizo fupi

KITENGO CHA UHARIRI JANGA la corona lilipoikumba nchi mwaka 2020, shule zilifungwa kwa miezi sita. Zilipofunguliwa upya, serikali...

TAHARIRI: Mutyambai atoe namba kwa umma

KITENGO CHA UHARIRI INSPEKTA Jenerali wa Polisi Hillary Mutyambai ameonya maafisa wa polisi wenye mazoea ya kushinikiza watu kununua...

TAHARIRI: Kampeni ghali ndizo zinazotuchongea

KITENGO CHA UHARIRI RIPOTI iliyotokana na utafiti mmoja hivi majuzi imeonyesha uhalisia wa jinsi uchaguzi nchini ulivyo ghali. Na...