Aliyetekwa arudi nyumbani baada ya miezi mitano

NA KALUME KAZUNGU Mwanamume wa miaka 39, Taimur Kariuki Hussein, ambaye alitoweka katika hali tatanishi karibu miezi mitano iliyopita...