Atwangwa na mkewe kama mburukenge kwa kutomnunulia nyama

Na BENSON MATHEKA GITHUNGURI, KIAMBU WAKAZI wa hapa, waliachwa vinywawazi baada ya jombi kupokonywa mboga na kutandikwa na mkewe kama...