‘Tangatanga’ wasihi Uhuru azungumze na Ruto

Na ONYANGO K'ONYANGO WANDANI wa Naibu Rais William Ruto wamemsihi Rais Uhuru Kenyatta afanye mazungumzo na naibu wake ili kumaliza...

Akaunti za ‘Tangatanga’ zanyemelewa

Na ONYANGO K’ONYANGO BAADA ya kupokonywa nyadhifa za uongozi katika chama cha Jubilee, washirika wa Naibu Rais William Ruto sasa...

‘Tangatanga’ wawekea DCI na EACC presha

Na MISHI GONGO KUNDI la wanasiasa wa mrengo wa 'Tangatanga' limemtaka mkurugenzi wa idara ya uchunguzi wa makosa ya jinai (DCI) na...

‘Tangatanga’ wakiri fimbo ya Uhuru yatisha

Na ONYANGO K'ONYANGO WANDANI wa Naibu Rais William Ruto, wamekiri kuwa fimbo kali ya Rais Uhuru Kenyatta iliwalazimu kuenda chini ya...

Tangatanga yatumia sakata ya fedha za corona kutakasa Ruto

Na LEONARD ONYANGO MADAI kuhusu wizi wa mamilioni ya fedha zilizotengwa kukabiliana na janga la virusi vya corona yamegeuka baraka kwa...

Ruto aona mwanya wa kuanza kutangatanga tena

ONYANGO K'ONYANGO na CHARLES WASONGA NAIBU Rais, Dkt William Ruto Alhamisi alidokeza kuwa ataanza ziara zake sehemu mbalimbali nchini hivi...

Tangatanga walia kutengwa katika miradi ya maendeleo

Na MWANGI MUIRURI WABUNGE wanaoegemea upande wa Naibu Rais William Ruto, wamelalamika wakidai maafisa serikalini wanatumia miradi ya...

Mivutano ya UhuRaila, Tangatanga kuwanyima haki watu wa Kirinyaga

Na CHARLES WASONGA MCHAKATO wa kuchunguza madai yaliyotolewa dhidi ya Gavana Anne Waiguru na madiwani wa Kirinyaga wanaotaka abanduke...

Joto lazidi kambi ya Ruto Duale akiandamwa

FARHIYA HUSSEIN na VALENTINE OBARA MWANDANI mwingine wa Naibu Rais William Ruto, Aden Duale, yumo motoni baada ya polisi kuanzisha...

Marufuku kwa wabunge wa Ruto kuhutubu kanisani

NA MWANDISHI WETU WABUNGE 10 wanaoegemea upande wa Naibu Rais William Ruto, Jumapili walikatazwa kuhutubu katika Kanisa Anglikana la St...

Vita vya Kieleweke na Tangatanga sasa vyaelekea Bungeni

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta anapanga kudhibiti bunge la kitaifa na lile la seneti ili kuendeleza agenda ya serikali bungeni...

Tangatanga sasa wakubali kueneza injili ya BBI kote nchini

Na LEONARD ONYANGO WANASIASA wa Jubilee wanaounga mkono Naibu wa Rais William Ruto wametangaza kuwa wataanza kushiriki mikutano ya...