TEKNOHAMA: Simu kutumika kukabili Covid-19

Na LEONARD ONYANGO KATIKA juhudi za kuzuia maambukizi ya virusi vya corona, serikali imekuwa ikishauri wananchi kuepuka maeneo yenye...

TEKNOHAMA: Simu inaweza kueneza homa ya Corona

Na LEONARD ONYANGO SIMU yako huenda ikakufanya kupata maambukizi ya homa ya Corona ambayo imeua karibu watu 3,700 na kuambukiza wengine...

TEKNOHAMA: App ya kukabiliana na homa ya Corona

Na LEONARD ONYANGO HUKU Shirika la Afya Duniani (WHO) likisema kuwa kinga dhidi ya homa ya Corona itapatikana ndani ya miezi 18 ijayo,...

TEKNOHAMA: Tumia app zilizokubalika pekee kwa afya yako

Na LEONARD ONGANGO KATIKA mtandao wa Google Play Store, kuna maelfu ya programu za simu (apps) zinazodai kusaidia watu kuboresha afya...

TEKNOHAMA: Simu huenda ikatumiwa kupima UTI

Na LEONARD ONYANGO MAAMBUKIZI ya mfumo wa mkojo (UTI) yamekuwa yakihusishwa na wanawake, lakini wataalamu wa afya wanasema kuwa wanaume...

TEKNOHAMA: Usitegemee app tu katika kupanga uzazi, nyingi zinapotosha

Na LEONARD ONYANGO KUNA njia tele za wanawake kujua siku zilizo na uwezekano mkubwa wa kupata ujauzito. Kwa wanawake ambao mzunguko...

SHINA LA UHAI: Watumiaji mihadarati sasa watatambulika kwa kupimwa viganja

Na LEONARD ONYANGO MIKONO ya watumiaji wa mihadarati huenda sasa ikatumika kama ushahidi kortini baada ya wanasayansi wa nchini...

SHINA LA UHAI: Huenda ukapima ubongo wa mtoto angali tumboni

Na LEONARD ONYANGO AKINA mama wajawazito huenda wakatumia simu kupima watoto wao tumboni kubainisha ikiwa ubongo una dosari au...

AFYA JAMII: Kidume cha mbegu au goigoi chumbani?

Na LEONARD ONYANGO KUKOSA mtoto ni miongoni mwa sababu kuu zinazosababisha ndoa kuvunjika na mara nyingi wanaume hukimbilia kuwalaumu...

SHINA LA UHAI: Afua kwa wanaougua kansa ya mapafu

Na LEONARD ONYANGO MATUMAINI ya wagonjwa wa kansa ya mapafu kupata matibabu yameongezeka baada ya wanasayansi kuthibitisha kuwa kifaa...

TEKNOHAMA: Facebook kuzima habari feki za tiba

Na LEONARD ONYANGO MITANDAO ya kijamii ni sawa na maji ya mafuriko; hubeba takataka na vitu vya thamani. Licha ya mitandao ya kijamii...

Selfie kutumika kupima presha

Na LEONARD ONYANGO UKIWA una simu aina ya ‘smartphone’ kuna uwezekano mkubwa kwamba karibu nusu ya picha zilizomo ni za...