Mwanamume apata majeraha kwa kugongwa na gari Thika Road

Na SAMMY WAWERU MWANAMUME mmoja anauguza majeraha baada ya kugongwa na gari mnamo Jumanne wakati akipita eneo lisilo na daraja wala...

Watumiaji wa Thika Road eneo la Roysambu kuelekea Ruiru, Juja na Thika wahimizwa kutafuta njia mbadala

Na SAMMY WAWERU MSONGAMANO wa magari unaendelea kushuhudiwa katika barabara kuu ya Thika Superhighway kufuatia ukarabati...

Mmoja apata majeraha baada ya kuhusika katika ajali Thika Road

Na SAMMY WAWERU WATU watano walinusurika kifo katika ajali iliyotokea Jumatano jioni katika barabara ya Thika Superhighway. Ajali...

Wawili wanusuruka kifo katika ajali Thika Superhighway

Na SAMMY WAWERU WATU wawili Jumamosi wamenusurika kifo baada ya lori walimokuwa kuhusika katika ajali mbaya katika barabara ya Thika...

Baadhi ya madereva wadai hafla ya kitaifa imewaondolea usumbufu wa maafisa

Na MAGDALENE WANJA WAHUDUMU wa biashara ya matatu jijini Nairobi wamepata afueni Jumanne kwa kile wamesema ni kuwepo kwa maafisa...

Kadhaa wanusurika kifo katika ajali Thika Superhighway

Na SAMMY WAWERU WATU kadhaa walinusurika kifo katika ajali iliyotokea Jumatatu jioni katika barabara ya Thika Superhighway. Ajali...