Atletico Madrid bado pembamba Kundi A licha ya kuambulia sare ya 1-1 dhidi ya Bayern Munich kwenye UEFA

Na MASHIRIKA ATLETICO Madrid sasa wana ulazima wa kuzuia kichapo dhidi ya RB Salzburg katika mchuano wao wa mwisho wa Kundi A ili kufuzu...