Kocha Tuchel asema atasalia Chelsea hadi mwisho wa msimu huu

Na MASHIRIKA KOCHA Thomas Tuchel amesema ana wajibu wa pamoja na wachezaji wake kupigania maslahi ya kila mfanyakazi kambini mwa Chelsea...

Chelsea kutumia mechi yao ijayo ya EPL kuwasoma zaidi Man-City kabla ya fainali ya UEFA

Na MASHIRIKA KOCHA Thomas Tuchel wa Chelsea amesema watatumia gozi la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) litakalowakutanisha na Manchester City...

Chelsea na Brighton waambulia sare tasa kwenye gozi la EPL

Na MASHIRIKA CHELSEA walitinga ndani ya mduara wa nne-bora kwenye msimamo wa jedwali la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) mnamo Jumanne usiku...

Chelsea yaibuka Klabu Bora ya Mwongo kati ya 2011 na 2020

Na MASHIRIKA CHELSEA wametawazwa kuwa Kikosi Bora cha Mwongo katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL). Haya ni kwa mujibu wa Shirikisho la...

Niliwahi kujaribu kumsajili Bruno Fernandes wa Manchester United nikiwa kocha wa PSG – Tuchel

Na MASHIRIKA KOCHA Thomas Tuchel amemsifia kiungo Bruno Fernandes kwa ukubwa wa ushawishi wake uwanjani kila anapovalia jezi za Manchester...

Kibarua cha kwanza cha kocha Tuchel kambini mwa Chelsea chakamilika kwa sare tasa dhidi ya Wolves ligini

Na MASHIRIKA KOCHA Thomas Tuchel alianza kazi kambini mwa Chelsea kwa kuwaongoza waajiri wake kusajili sare tasa dhidi ya Wolves katika...

Kocha Thomas Tuchel aanza kazi kambini mwa Chelsea baada ya kuaminiwa kuwa mrithi wa Lampard

Na MASHIRIKA CHELSEA wamemteua kocha wa zamani wa Paris Saint-Germain (PSG), Thomas Tuchel kuwa mkufunzi wao kwa kipindi cha miezi 18...