Afariki baada ya kukosa hewa timboni

NA LUCY MKANYIKA Mtu mmoja amefariki na mwingine kulazwa hospitalini baada ya kuzimia kwa kukosa hewa ya kupumua katika timbo moja eneo...

Kijiji kinachozama kutokana na matimbo

RICHARD MAOSI NA KEVIN ROTICH Wakazi wa kijiji cha Kimolwet eneo la Barut, Kaunti ya Nakuru, wametoroka makwao, baada ya wachimba migodi...

Wachimba mawe walia kuteswa

Na LAWRENCE ONGARO WAFANYAKAZI  37 katika matimbo ya mawe eneo la Juja, Kiambu wanalalamika kudhulumiwa na mwajiri wao. Wafanyakazi...

Wakazi waandamana wakitaka kampuni ya mawe ifungwe

Na MAGDALENE WANJA Wakazi wa Kagoto eneo la Bahati katika kaunti ya Nakuru hapo waliandamana wikendi na kutaka kufungwa kwa kampuni moja...

Huzuni 3 wakifariki baada ya kufunikwa na mawe timboni

ALEX NJERU na ISABEL GITHAE WATU watatu waliaga dunia na mmoja kujeruhiwa vibaya, baada ya timbo walimokuwa wakichimba mawe kuboromoka...