ERIC MALANDA: Aanzisha timu yenye makali ligini licha ya kuwa mlemavu

Na PATRICK KILAVUKA UTU na ari ya Eric Malanda imemwezesha kuanzisha timu ya Tinganga Community FC, Kaunti ya Kiambu ambayo inatia fora...