Binti adai kupigwa sababu hajakeketwa

Na Oscar Kakai MWANAMKE wa miaka 22 kutoka kata ya Murpus, Pokot Magharibi anatafuta haki kwa madai ya kupigwa na kuumizwa na wanawake...

MAKALA MAALUM: Tohara yazua utata ikiwa ifanywe kitamaduni au kushirikisha kanisa

Na MWANGI MUIRURI MSIMU wa tohara ambao kwa kawaida huwa muhimu kwa jamii zinazotambua desturi hiyo, sasa umegeuka kuwa kiini cha...

Kiini cha wavulana kutorejea shuleni

Na WAANDISHI WETU WAVULANA wengi kote nchini, wameshindwa kurudi shuleni kwa kuwa walizoea kupata pesa wakiwa nyumbani shule...

Watisha kuroga yeyote atakayejaribu kuzuia tohara

Dennis Lubanga na Brian Ojamaa Magharibi mwa Kenya sherehe za kutairi ni hafla muhimu ya kutoka utotoni hadi utu uzima ambayo imekuwa...

Pigo kwa Wabukusu tohara ikiahirishwa

Na BRIAN OJAMAA UTAKUWA mwaka wa kusahau kwa wakazi wa magharibi hasa jamii-ndogo ya Wabukusu kwani utamaduni wanaouthamini sana wa...

Wazee wa Agikuyu sasa wapanga kusimamia tohara

Na WAIKWA MAINA BARAZA la Wazee wa jamii ya Agikuyu limefutilia mbali sherehe na hafla zake zote hadi Januari ili kuchukua usukani wa...

Kioja mzee kupashwa tohara kabla ya kuzikwa

Na MWANGI MUIRURI WAKAZI wa kijiji kimoja katika Kaunti ya Murang'a waliachwa vinywa wazi baada ya mzee aliyekumbana na mauti akiwa na...

Serikali kukagua wanaume kubaini ikiwa wametahiriwa

NA GEORGE ODIWUOR SERIKALI kuanzia Jumatatu itaanza kuchunguza nyeti za wanaume ikiwa wametahiriwa, katika kaunti nne za eneo la...

Wazazi wa aliyeaga baada ya kutahiriwa wangali mafichoni

Na David Muchui MSICHANA aliyefariki kutokana na majeraha ya ukeketaji katika kijiji cha Mwaniki, Igembe ya Kati mwezi moja uliopita...

Mwanamume ajitahiri kwa wembe ili kuepuka kejeli za mke

Na ALEX NJERU MWANAMUME wa miaka 40 kutoka eneo la Ntulili, Maara, Kaunti ya Tharaka-Nithi, Jumapili alikimbizwa katika hospitali ya...

Mswada wa tohara ya wavulana kufadhiliwa na serikali jikoni

Na CHARLES WASONGA HUENDA visa vya wavulana kufariki kwa kupashwa tohara na watu wasiohitimu vitapungua au kumalizika kabisa, ikiwa...

Mwanamke atahiriwa lazima kama adhabu ya kuona uchi wa mwenzake

NA PETER MBURU POLISI eneo la Igembe ya kati wanawasaka watu wanne ambao wanatuhumiwa kumtahiri mwanamke kama adhabu ya kuona uchi...