COVID-19: Mechi ya EPL kati ya Tottenham na Arsenal yaahirishwa

Na MASHIRIKA OMBI la Arsenal la kutaka pambano la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) lililokuwa liwakutanishe na Tottenham Hotspur ugenini...

Spurs nje ya Europa Conference League baada ya kususia mechi dhidi ya Rennes

Na MASHIRIKA TOTTENHAM Hotspur wamedenguliwa kwenye Europa Conference League baada ya Shirikisho la Soka la bara Ulaya (Uefa) kubainisha...

Spurs wazidiwa ujanja katika gozi la Europa Conference League

Na MASHIRIKA TOTTENHAM Hotspur walilipia maamuzi ya kuacha nje wachezaji wao wa haiba kubwa wakati wa mechi ya Europa Conference League...

Tottenham wampa Nuno Espirito Santo mikoba yao ya ukocha

Na MASHIRIKA TOTTENHAM Hotspur wamemwajiri kocha wa zamani wa Wolves, Nuno Espirito, kwa mkataba wa miaka miwili. Nuno aliagana na...

DROO YA KOMBE LA FA: Leicester City wapewa Man-United huku Man-City wakikutanishwa na Everton

Na MASHIRIKA EVERTON watakuwa wenyeji wa viongozi wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) Manchester City kwenye robo-fainali za Kombe la FA...

Spurs wakomoa Brentford 2-0 na kufuzu kwa fainali ya Carabao Cup

Na MASHIRIKA KOCHA Jose Mourinho aliwaongoza Tottenham Hotspur kupepeta Brentford 2-0 mnamo Jumanne na kutinga fainali ya Carabao Cup...

Sheffield United wafundisha vijana wa Mourinho kusakata boli

Na CHRIS ADUNGO SHEFFIELD United walisajili ushindi wao wa kwanza tangu kurejelewa kwa kipute cha Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) katika...

Harry Kane alenga kufunga jumla ya mabao 200 katika EPL na kufikia rekodi za Shearer na Rooney

Na CHRIS ADUNGO MSHAMBULIAJI matata wa Tottenham Hotspur, Harry Kane amesema kwamba analenga kuwa mchezaji wa tatu baada ya Alan Shearer...

Mzaha wa Dele Alli kuhusu corona wampokeza adhabu kali

Na CHRIS ADUNGO KIUNGO Dele Alli wa Tottenham Hotspur amepigwa marufuku ya mechi moja na Shirikisho la Soka la Uingereza (FA) kwa sababu...

‘Msiwakate mshahara wafanyakazi wa Tottenham’

Na CHRIS ADUNGO CHAMA cha mashabiki wa Tottenham Hotspur (THST) kinaamini kwamba “bado kuna muda” kwa usimamizi “kufanya maamuzi...

Roketi ya Victor Wanyama katika tuzo ya bao bora

Na GEOFFREY ANENE HUKU Victor Wanyama akizidi kuhusishwa na tetesi za kuondoka klabu yake ya Tottenham Hotspur katika kipindi kifupi cha...

Mwanya kwa Wanyama kutesa akiwajibikia Spurs wajitokeza

Na MWANDISHI WETU VICTOR Wanyama huenda akanufaika kutokana na marufuku ya wachezaji Harry Winks na Moussa Sissoko kupangwa na Jose...