Kitoweo cha trafiki chamwagwa baada ya vizuizi kuondolewa barabarani

Na WAANDISHI WETU POLISI wengi wa trafiki sasa watapoteza mfereji wa sehemu kubwa ya mapato yao kufuatia agizo la wakuu wao kuondoa...

Wahu kizimbani kwa kuzuia magari Kileleshwa

Na RICHARD MUNGUTI MSANII wa nyimbo za dini alishtakiwa Alhamisi katika mahakama ya Milimani kwa kuzuia magari mengine barabarani. Bi...

Maafisa waadilifu wa trafiki kutuzwa

Na BENSON AMADALA bamadala@ke.nationmedia.com INSPEKTA Jenerali wa Polisi, Hillary Mutyambai ameahidi kuanzisha mpango wa kuwatuza...

MBURU: Lazima maafisa wa serikali watii sheria za trafiki

Na PETER MBURU WIKI hii ilianza kwa mambo mengi hasa siasa kama kawaida ya Kenya, lakini kuna kisa ambacho kilivutia Wakenya...

HANDISHEKI: Kisumu kupata taa za trafiki miaka 118 baadaye!

Na JUSTUS OCHIENG KISUMU itapata taa za trafiki kwa mara ya kwanza kabisa, miaka 118 tangu jiji hilo la eneo la Nyanza kujengwa, ishara...

Idara ya polisi wa trafiki yavunjwa kuzima hongo barabarani

Na MWANDISHI WETU INSPEKTA Jenerali wa polisi, Bw Joseph Boinnet, amevunjilia mbali idara ya polisi wa trafiki na kutangaza kuwa, afisa...