JUBILEE: Tuju athibitisha kikao cha Rais Kenyatta na maseneta Ikuluni Jumatatu

Na CHARLES WASONGA KATIBU Mkuu wa Jubilee Raphael Tuju amethibitisha kuwa maseneta wa chama hicho wamealikwa na Rais Uhuru Kenyatta kwa...

Cositany amrukiaTuju vikali katikamzozo wa Jubilee

 Na PATRICK LANG’AT UBABE ndani ya chama tawala cha Jubilee unaendelea kutokota, Naibu Katibu Mkuu Caleb Kositany akimshutumu Katibu...

Nilishauriana na wahusika wote Nairobi, adai Tuju

Na COLLINS OMULO MABADILIKO ya uongozi katika chama cha Jubilee yaliyotangazwa na Katibu Mkuu, Raphael Tuju kwenye Kaunti ya Nairobi,...

Tuju apata ajali akiwa safarini kuhudhuria mazishi ya Moi

Na SIMON CIURI KATIBU Mkuu wa chama cha Jubilee Raphael Tuju amepelekwa hospitalini Kijabe baada ya kupata ajali akiwa safarini kuelekea...

Jamii ya Waluo yamsifu Tuju

Na DICKENS WASONGA VIONGOZI wa jamii ya Waluo wamemmiminia sifa Katibu Mkuu wa Chama cha Jubilee, Bw Raphael Tuju na kusema amesaidia...

Mtihani wa handisheki Jubilee ikiingia Kibra

Na CECIL ODONGO USHIRIKIANO kati ya Rais Uhuru Kenyatta na Kinara wa ODM Raila Odinga unatarajiwa kutiwa kwenye mizani baada ya chama...

Visiki vizito katika azma ya Jubilee kufanya uchaguzi

Na WANJOHI GITHAE na BENSON MATHEKA CHAMA cha Jubilee kinakabiliwa na kibarua kigumu zaidi kinapojiandaa kwa uchaguzi kote nchini huku...

Waluke amwomba Tuju msamaha

Na CHARLES WASONGA MBUNGE wa Sirisia, John Waluke ameomba msamaha kwa Katibu Mkuu wa chama cha Jubilee, Raphael Tuju kwa kutumia maneno...

JAMVI: Vizingiti vya Ruto ndani ya Serikali

Na LEONARD ONYANGO IDADI ya watu serikalini ambao Naibu wa Rais William Ruto anaona kuwa kizingiti kwake kumrithi Rais Uhuru Kenyatta...

2022: Ruto hahitaji tiketi ya moja kwa moja ya Jubilee, wandani wamkosoa Tuju

Na ONYANGO K’ONYANGO WANASIASA kutoka jamii ya Wakalenjin Jumatatu walisema kuwa Naibu Rais William Ruto hahitaji tiketi ya moja kwa...