KILIMO MASHINANI: Tunda hili la jamii ya nyanya lina faida tele, litakupa laki kila mwezi

Na DUNCAN MWERE HUKU idadi kubwa ya vijana wakihamia mijini kusaka ajira za hadhi, mambo ni tofauti kwa Michael Mwangi Mumbi. Anaamini...