KOMBE LA DUNIA FIFA 2022: Tunisia wakosa kuingia 16-bora licha ya kuangusha miamba Ufaransa katika Kundi D

Na MASHIRIKA UFARANSA walishuhudia bao lao la kusawazisha dhidi ya Tunisia likifutiliwa mbali na teknolojia ya VAR mwishoni mwa kipindi...

Tunisia na Denmark waumiza bure nyasi za uwanja wa Education City katika mchuano wa Kundi D

Na MASHIRIKA DENMARK na Tunisia walitoshana nguvu katika mechi ya Kundi D iliyowakutanisha uwanjani Education City, Al Rayyan. Licha...

AFCON: Burkina Faso wang’oa Tunisia kwenye robo-fainali

Na CHRIS ADUNGO TINEJA Dango Ouattara alifunga bao la pekee lililowapa Burkina Faso ushindi wa 1-0 dhidi ya Tunisia kabla ya kufurushwa...

Rais mpya wa Tunisia aapishwa

Na MASHIRIKA TUNIS, TUNISIA RAIS mpya wa Tunisia Kais Saied ameapishwa rasmi kwenye kikao cha bunge la taifa hilo. Saied, 61...

Matokeo ya awali vituoni yamuweka mbele mhafidhina Kais Saied

Na AFP TUNIS, TUNISIA RAIS mteule wa Tunisia kwa mujibu wa matokeo ya kura za awali, mtaalamu na mhafidhina Kais Saied, amewashukuru...

Mgombeaji urais asusia mlo katika jela ya Tunisia

Na MASHIRIKA MMOJA wa wawaniaji wa urais nchini Tunisia, Nabil Karoui, ambaye alipigiwa upatu kushinda kiti hicho ameanza kususia...

Rais wa Tunisia afariki akiwa na umri wa miaka 92

Na MASHIRIKA TUNIS, TUNISIA RAIS wa Tunisia, Beji Caid Essebsi amefariki katika hospitali ya kijeshi jijini Tunis, imetangaza asasi...

Ni mwenye nguvu nipishe The Eagles wakiwania 3-bora

Na MASHIRIKA CAIRO, Misri JUMATANO, Julai 17, 2019, itakuwa ni zamu ya Super Eagles ya Nigeria na Carthage Eagles ya Tunisia...

Tunisia yazamisha Ghana na kujikatia tiketi ya nane-bora

Na MASHIRIKA ISMAILIA, MISRI TUNISIA waliwapepeta Ghana 5-4 kupitia mikwaju ya penalti na hivyo kufuzu kwa hatua ya robo-fainali...

Mali yaponda Mauritania, Angola wakiyumbisha dau la Tunisia

Na MASHIRIKA CAIRO, MISRI MALI walifungua kampeni za Kundi E kwa matao ya juu zaidi kwa kuwaponda limbukeni Mauritania 4-1 mnao...