Nigeria yaondolea Twitter marufuku

Na MASHIRIKA ABUJA, NIGERIA NIGERIA imeondoa marufuku dhidi ya mtandao wa Twitter, miezi saba baada ya kupiga marufuku matumizi ya...

Twitter kuwazima milele wanaopotosha kuhusu chanjo ya corona

MASHIRIKA na MARY WANGARI SAN FRANCISCO, Amerika KAMPUNI inayomiliki mtandao wa kijamii wa Twitter Jumanne imesema itaanza kutia...

FAUSTINE NGILA: Heko Twitter na Facebook kuzima tetesi za Trump

NA FAUSTINE NGILA Katika uandishi wangu, nimekuwa nikiikemea mitandao ya kijamii kwa kuchangia pakubwa kwa kuenea kwa habari za...

TEKNOHAMA: Twitter kuwalinda waathiriwa wa kifafa

Na LEONARD ONYANGO MTANDAO wa kijamii wa Twitter umepiga marufuku picha za kuchezacheza na kubadili rangi maarufu APNG kwa lengo la...

OBARA: #KOT hawajaiva kuchochea mageuzi ya kweli nchini

Na VALENTINE OBARA WIKI iliyopita, mtandao wa kijamii wa Twitter ulisheheni jumbe za Wakenya walioonekana kuwa na hasira kwa utawala wa...

Sera mpya ya Twitter kupiga marufuku matangazo ya kisiasa

Na MARY WANGARI na MASHIRIKA WANASIASA wanaotumia mitandao ya kijamii kuvutia wapigakura wamepata pigo kuu kufuatia hatua ya usimamizi...

Ruto anavyomuiga Trump kukabili mahasidi Twitter

Na JEREMIAH KIPLANG’AT NAIBU Rais William Ruto ameonekana kukumbatia mtandao wa Twitter katika siku za hivi karibuni kila anapotaka...

Akaunti za Twitter na Facebook za Uhuru zazimwa

Na PETER MBURU AKAUNTI za mitandao ya kijamii za Rais Uhuru Kenyatta Ijumaa asubuhi zilizimwa, baada ya kudaiwa kuingiliwa na watu fulani...

Polisi wasaka wanaochochea ghasia za kikabila Twitter

Na PETER MBURU IDARA ya Polisi imetangaza kuwa inawinda jamaa mmoja ambaye amekuwa akitumia mtandao wa Twitter kusambaza jumbe za...

Mitandao ya kijamii itasaidia wanyonge kupata haki lakini kwa kufuata kanuni hizi

NA FAUSTINE NGILA MTINDO ambapo asasi zinazotegemewa kutenda haki katika visa mbalimbali vya uhalifu hutegemea mitandao ya kijamii,...

Watumizi wa mitandao ya kijamii Uganda kutozwa ushuru wa Sh100 kila siku

DAILY MONITOR na CHARLES WASONGA WATUMIZI mitandao  ya kijamii nchini Uganda sasa watatozwa ushuru mpya ili kuzuia kile ambacho Rais...

Twitter yajiunga na Google na Facebook kuharamisha matangazo ya Bitcoin

Na BERNARDINE M UTANU KAMPUNI ya mtandao wa kijamii ya Twitter imepiga marufuku matangazo ya sarafu za siri (cryptocurrency). Kampuni...