Malawi yamsihi Mike Tyson awe balozi wake wa bangi

Na MASHIRIKA SERIKALI ya Malawi imemwandikia barua bingwa wa zamani wa ndondi Mike Tyson, 54, ikimsihi akubali kuwa balozi wake wa zao...