Kenya na Uganda U-17 waumiza nyasi bure Nairobi

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya taifa ya soka ya Kenya ya wavulana wasiozidi umri wa miaka 17 imetoka 0-0 dhidi ya majirani Uganda katika mechi...

AFCON U-17: Uganda yafuzu kwa mara ya kwanza

Na Geoffrey Anene UGANDA imejiunga na Angola, Cameroon na wenyeji Tanzania katika Kombe la Afrika la soka ya wanaume wasiozidi umri wa...

TZ yaimumunya Sudan kama pipi U-17

Na Geoffrey Anene WENYEJI Tanzania wametinga nusu-fainali ya soka ya Afrika Mashariki na Kati ya kufuzu kushiriki Kombe la Afrika la...

Kenya yainyeshea Sudan 4-0 U-17

Na GEOFFREY ANENE KENYA imeanza soka ya kufuzu kushiriki mashindano ya Afrika kwa wachezaji wa kiume wasiozidi umri wa miaka 17 kwa...

Tanzania watwaa ubingwa Cecafa U-17 baada ya kuilima Somalia

Na GEOFFREY ANENE TANZANIA ndiyo mabingwa wa makala ya tatu ya mashindano ya soka ya Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) ya Under-17...

Kenya U-17 yatinga nusu fainali licha ya kupigwa 1-0 na Somalia

Na GEOFFREY ANENE KENYA imeingia nusu-fainali ya mashindano ya soka ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 17 ya Afrika Mashariki na Kati...