Uganda, Burundi wavuna ushindi Cecafa U20 ikipamba moto

Na GEOFFREY ANENE WENYEJI Uganda wamechupa uongozini mwa Kundi A kwenye mashindano ya soka ya Afrika Mashariki na Kati ya wachezaji...

Kenya yanyeshea Zanzibar 5-0 U-20

Na GEOFFREY ANENE RISING Stars ya Kenya imechukua uongozi wa Kundi B kwenye mashindano ya soka ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 20...

Mary Njoroge ateuliwa kusimamia mechi za Kombe la Dunia U-20

Na GEOFFREY ANENE MKENYA Mary Njoroge yuko katika orodha ya maafisa sita kutoka Bara Afrika walioteuliwa kusimamia mechi katika Kombe la...

Rwanda kutua nchini kwa mchuano wa Kombe la Afrika U-20

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya taifa ya soka ya Rwanda ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 20 itawasili Kenya Ijumaa kwa mchuano wa kufuzu...

Rwanda yajiandaa kuchuana na Kenya U-20 Kombe la Afrika

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya Rwanda imeanza mazoezi Jumatano tayari kupepetana na Kenya katika mechi ya kufuzu kushiriki Kombe la Afrika la...

Ukosefu wa hela kwa Rwanda waipa Kenya tiketi ya bure U-20

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya taifa ya soka ya Kenya ya waunaume wasiozidi umri wa miaka 20 huenda ikapata tiketi ya bwerere kushiriki raundi...

Mchuano wa Kenya dhidi ya Misri U-20 wafutwa

Na GEOFFREY ANENE MECHI za kirafiki kati ya timu ya soka ya Kenya na Misri ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 20 ya wanaume,...

Kenya U-20 kujipima nguvu na TZ na Misri kabla ya kuvaana na Rwanda

Na GEOFFREY ANENE KENYA na Rwanda zitapigania tiketi moja ya kushiriki mechi za raundi ya pili ya kufuzu kushiriki Kombe la Afrika la soka...