Utaratibu wa kuajiri walimu Kaskazini Mashariki ugatuliwe, ashauri gavana Roba

Na DIANA MUTHEU GAVANA wa Mandera sasa anashauri utaratibu wa kuajiri walimu ugatuliwe ili kusaidia kumaliza tatizo la uhaba wa walimu...

MAKALA MAALUM: Malipo duni ni miongoni mwa masaibu mengi yanayotatiza taaluma ya ualimu

Na VITALIS KIMUTAI JINA mwalimu aghalabu huhusishwa na mtu wa hadhi na anayeheshimika katika jamii. Si ajabu kwamba katika enzi za...

Wahitimu wa ualimu wahimizwa wawe wabunifu

Na LAWRENCE ONGARO WALIMU wanastahili kulipwa mshahara mzuri ili kuwapa motisha kufanya kazi vyema. Mbunge wa Thika, Mhandisi Patrick...

PETER TABICHI: Mwalimu anayewapa matumaini wanafunzi kutoka familia maskini

Na MAGDALENE WANJA SHULE ya Upili ya Keriko iko katika kijiji cha Pwani ambapo ni katika maeneo ya kipato cha chini ya Kaunti ya...

Wanaume hawapendi kufundisha kwenye shule za msingi – Utafiti

Na OUMA WANZALA IDADI ya wavulana wanaoingia kwenye taaluma ya ualimu inazidi kupungua, huku kazi hiyo ikivutia wasichana zaidi, ripoti...