Uasin Gishu kununulia wazee wa vijiji sare kwa Sh10 milioni

WYCLIFF KIPSANG na ONYANGO K’ONYANGO SERIKALI ya kaunti ya Uasin Gishu itatumia Sh10 milioni kununua sare kwa wazee wa vijiji ikisema...