Uhuru na Ruto wapeleka vita vyao vya ubabe katika makanisa

Na LEONARD ONYANGO VIONGOZI wa makanisa wamejipata katikati ya ubabe wa kisiasa baina ya Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William...

Cherargei aibua ubabe wa kisiasa kati ya Ruto na Moi

BARNABAS BII na WYCLIFFE KIPSANG MATAMSHI ya Seneta wa Nandi Samson Cherargei ya kuwaonya wanaompiga vita Naibu Rais Dkt William Ruto...

Maraga awashauri magavana na wabunge kujadiliana kwanza

MAUREEN KAKAH na CHARLES WASONGA MAHAKAMA ya Juu Jumanne ilizitaka pande husika katika kesi ambapo magavana wanataka ufasiri na ushauri...

Fujo serikalini zatisha kuyumbisha nchi

BENSON MATHEKA Na RICHARD MUNGUTI MIZOZO ndani ya serikali ya Jubilee inatishia kulemaza nchi miaka mitatu kabla ya kukamilika kwa...

Seneti yaishtaki Bunge la Kitaifa

Na Richard Munguti MTAFARUKU na malumbano makali ya utunzi na upitishaji sheria na mabunge mawili umepelekwa kwa Jaji Mkuu (CJ) David...

UBABE: Seneti na Bunge la Kitaifa kuzidi kukabiliana

Na CHARLES WASONGA VITA vya ubabe kati ya Bunge la Kitaifa na Seneti vitaendelea kutokota wiki hii maseneta watakapowasilisha kesi...

UBABE: Google yaizima Huawei kutumia huduma za Android na Google Play Store

PETER MBURU na BERNARDINE MUTANU UHASAMA wa kibiashara baina ya Amerika na Uchina kuhusu kampuni ya kutengeneza simu ya Huawei unazidi...

RIPOTI MAALUM: Echesa taabani kuagiza picha zake za ngono ziwekwe sura ya Malala

Na CHARLES WASONGA VITA vya kisiasa baina ya Waziri wa Michezo Rashid Echesa na Seneta wa Kakamega Cleophas Malala sasa vimechukua...

JAMVI: Hali ya Alfred Keter yaanika vita vya ubabe baina ya Ruto na Gideon Moi

[caption id="attachment_2401" align="aligncenter" width="800"] Mbunge wa Nandi Hills, Bw Alfred Keter alipokamatwa katika Benki Kuu ya...